nyerere

  1. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

    Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi. Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwalimu Nyerere: Watanzania uchumi mnaukalia

    Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji. Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700 Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji tokea iumbwe Dunia Tuna gesi isiyomalizika Mtwara huko Kuna nchi hazina mvua hazina mito...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Abdulkarim Hajj, Mwinyi Mcheni Omari na Julius Nyerere

    ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA KUIJENGA TANU KILWA Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar akifahamiana vyema na Julius Nyerere. Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar na Mwinyi Mcheni Omar ni kati ya ya watu waliomuunga mkono Nyerere na kasaidia sana katika kuiingiza TANU...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alisema ukibadilishana Madini ukapewa Gololi wewe ni Zuzu tu. Nape hakuwa bungeni wakati fedha za miradi zinapitishwa?

    Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika. Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU. Nimeona pia ile ya mbunge...
  7. Bowie

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni Nyerere wa kizazi kipya

    Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu. Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja. Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Greta Thunberg: Mwanaharakati anayefuta maono ya JK Nyerere

    Greta Thunberg ni Mwanaharakati mtoto wa mazingira na madiliko ya tabia nchi anayefuta maono ya yaliyozungumzwa na Raisi wa kwanza wa Tanzania JK Nyerere miaka zaidi ya ishirini iliyopita, na ni wakati hata Greta mwenyewe hajazaliwa. Huyu mtoto mdogo anapigania utunzaji wa mazingira duniani...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mjue Eugene Maganga mhusika wa njama za kuipindua Serikali ya Rais Julius Nyerere Januari 9, 1982

    MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982. "Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga. JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alipika Majasusi na yeye alijiimarisha kwenye fani

    Mnapoisifu idara ya Usalama ya leo mjue waliowarekruit wa leo wote walitengenezwa na Mwalimu. Kuanzia mzena et Al. Uzi upo humu. Kumbuka huwezi kuwa mwalimu mkuu bila wewe mwenyewe kubobea kwenye ualimu. Huwezi kuwa jenerali wa jeshi bila wewe mwenyewe kuwa jenerali (hata Kama hujaenda field)...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

    Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere. Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya. Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hamza Kassongo on sunday Nyerere Day miaka 22

  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Nyerere ziwe zinatangazwa wakati wote, siyo wakati wa kumbukumbu ya kifo chake pekee

    Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo. Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na wakati wote utapenda kuzisikiliza, kwa manufaa ya nchi yetu ya kipindi hiki na kijacho. Hotuba za...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo: Moja ya Ngome za TANU 1955

    Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika. Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hamza Kassongo on sunday Nyerere day 2

    MOHAMED SAID: HAMZA KASSONGO ON SUNDAY NYERERE DAY 2 Namzungumza Mama Maria Nyerere na juhudi zake za kusaidia familia yake kujikimu baada ya Mwalimu Nyerere kuacha kazi na kuwa mtumishi wa TANU.
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hamza Kassongo Nyerere Day

  17. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

    13 October 2021 Chato, Geita Tanzania KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa akijiaminia nini?

    Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupambana na kaburu kule SA Akamvagaa mbabe Idd Amini na kumfurusha kutoka Uganda Akastaafu akarudi...
Back
Top Bottom