nyerere

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Hamza Kassongo on Sunday JK Nyerere na marafiki zake saa tatu usiku leo TVE

  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

    Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM. Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi, udhwalimu nk, nawe ukakubali na hata kuja kujitetea mahakamani kuwa ulikuwa mtumwa tu. Kwa hakika hii ni...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Matayarisho ya Nyerere day na Hamza Kassongo on Sunday

    MATAYARISHO YA NYERERE DAY NA HAMZA KASSONGO ON SUNDAY Hamza Kassongo amenihoji historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na jinsi alivyoishi na marafiki zake aliojuananao siku za mwanzo alipofika Dar es Salaaam mwaka wa 1952. Nilimweleza Hamza Kassongo historia ya Mwalimu...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  5. comte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

    Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai- CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Mwl Nyerere

    Je, inatosha kumuenzi Mwl Nyerere kwa kukimbiza Mwenge wa Uhuru tu? Hatuna mbadala wa Mwenge kama namna ya kumuenzi Mwl? Agenda ya Mwl iliishia kwenye uhuru tu? Wakati wa Magufuli, Chama kupitia Mwenezi taifa wake, kilimuenzi Mwl nje ya mipaka ya nchi kwa kwenda Beijing kufanya midahalo mikubwa...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

    Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee. Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa. Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

    Kama binadamu, sote tuna mapungufu. Hata hivyo ashukuriwe Mola kwa kutupatia nyota wa kuangalia na kujifunza miongoni mwetu. Enyi viongozi wetu wa zama hizi mliojawa na ubinafsi uliopitiliza, mtakumbukwa kwa ubinafsi wenu? ---------- Credit kwako mkuu sana bwana Achimwene wa Makete: Mambo...
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania TANU ya Nyerere waliwahi kupiga vita mawigi na vimini

    Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo mwaka 1975 serikali ya TANU ilikaa kujadili juu ya kile walichoona kuporomoka kwa maadili. Vitu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

    Waungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi. Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi. Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti kabisa na wote tuliowahi kuwa nao. Nani kama huyu? Tuacheni kuwalazimisha watu kutapika nyongo...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Nyerere on science, technology and innovation: A powerful Ministry of Information, Communication and Technology is a gateway to digital Tanzania

    Our drivers toward the vision of Digital Tanzania since 1961: From the Late Julius Kambarage Nyerere, through the late John Pombe Magufuli to President Samia Suluhu Hassan Abstract Today, we are celebrating the 22nd anniversary since the demise of the Tanzania’s Father of the Nation, Julius...
  13. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

    Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
  14. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kumbukumbu ya Nyerere lakini tunaenda Chato?

    Wakuu, Sijui kama kuna kitu sijaelewa ila naona kama taifa ni kama tumechanganyikiwa hivi au niseme tumepoteza muelekeo au ufahamu fulani. Siku inapotengwa kitaifa kumuenzi mtu fulani maana yake siku ile inatakiwa kutumia kutafakari, kujadiliana na kuenzi mafundisho mema ya yule tunayemuenzi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

    Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu. Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya...
  16. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Nyerere au Magufuli?

    Wanasema leo ni kumbukumbu ya Kifo cha Nyerere lakini viongozi wote wakubwa wameenda kutembelea na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Magufuli. Kwahiyo siku ya kumbulumbu ya kifo cha Magufuli watakwenda Butiama kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Nyerere? Au walitaka kutuonesha kuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  18. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

    Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu. ukutana kwa...
  19. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Manyerere Jackton: Kila ukikutana na Mwalimu Nyerere unahisi nguvu fulani ya ajabu

    Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu. Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo..... Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifanya uhamishaji wa watu mkubwa kabisa katika Afrika?

    Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11 walihamishiwa kuishi kwenye vijiji vya ujamaa. Inasemwa kuwa moja ya matokeo ya jambo hilo ni...
Back
Top Bottom