Mwalimu Nyerere alipika Majasusi na yeye alijiimarisha kwenye fani

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
Mnapoisifu idara ya Usalama ya leo mjue waliowarekruit wa leo wote walitengenezwa na Mwalimu. Kuanzia mzena et Al. Uzi upo humu.

Kumbuka huwezi kuwa mwalimu mkuu bila wewe mwenyewe kubobea kwenye ualimu. Huwezi kuwa jenerali wa jeshi bila wewe mwenyewe kuwa jenerali (hata Kama hujaenda field) mwalimu alikuwa jasusi kamili na ndio maana Watanzania tulijisifu miaka ya 80 mpka 2000 kwamba sisi tunaongoza kwa upelelezi.

Jiulize hao wapelelezi walipikwa na nani? Walipelekwa vyuo vya nje kule Urusi KGB kwa hela iliyoidhinishwa na nani? Mzee Nyerere mwacheni aitwe Baba wa Taifa.

Zile fimbo zake zimekaguliwa sana na USA (FBI) na Scotland Yard UK mwacheni JKN aisee yule alikuwa kiumbe alien. Kuna mambo mengine hayasemwi Ila JKN alikuwa mbele ya muda.
 

David Goliath

JF-Expert Member
May 16, 2018
252
500
Mnapoisifu idara ya usalama ya Leo mjue waliowarekruit wa leo wote walitengenezwa na mwalimu. Kuanzia mzena et Al Uzi upo humu.
Kumbuka huwezi kuwa mwalimu mkuu bila wewe mwenyewe kubobea kwenye ualimu. Huwezi kuwa jenerali wa jeshi bila wewe mwenyewe kuwa jenerali (hata Kama hujaenda field) mwalimu alikuwa jasusi kamili na ndio maana watanzania tulijisifu miaka ya 80 mpka 2000 kwamba sisi tunaongoza kwa upelelezi ....! Jiulize hao wapelelezi walipikwa na Nani? Walipelekwa vyuo vya nje kule urusi KGB kwa hela iliyoidhinishwa na Nani ? Mzee Nyerere mwacheni aitwe baba wa taifa. Zile fimbo zake zimekaguliwa Sana na USA (FBI) na Scotland yard UK mwacheni jkn aisee yule alikuwa kiumbe alien. Kuna mambo mengine hayasemwi Ila jkn alikuwa mbele ya muda .
Siku zote madikteta wanawekeza kwenye idara ya usalama wa Taifa, Kwa masilahi Yao binafsi tofautisha usalama wa Taifa wa US unavyofanya kazi na usalama wa Taifa wa Tanzania hasa wakati wa Nyerere na Magufuli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom