nyerere

  1. Mwalimu Julius Nyerere | Mgogoro Wa Kikabila Rwanda, For Crisis in the Great Lakes 1996

    Mwalimu Julius Nyerere | Akizungumza mjini New York, katika mkutano wa meza duara ulioandaliwa na Taasisi ya Amani ya Kimataifa, Nyerere alisema kuwa Warundi wa kabila la Rwanda, wanaoitwa ‘Banyamulenge’, ni watu wanaostahili haki zao za binadamu na za kiraia kama raia wa Zaire. Aliongeza kuwa...
  2. Historia ya Maulid Hassan na Julius Nyerere Namtumbo 1955

    HISTORIA IMEMSAHAU MZALENDO HUYU MAULID HASSAN Imeandikwa na Kizito Mpangala Anapatikana Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma. Ni kamanda mwenye umri wa miaka 90 sasa. Maulid Hassan ni anayestahili kutunzwa vema. Maulid Hassan anatajwa kuwa alimficha Mwalimu Julius Nyerere kwa muda wa saa...
  3. Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  4. Maamuzi ya Nyerere kutuingiza AU, SADC, EAC na hatimaye Muungano yatatutesa hadi kiama. Nini kifanyike?

    Ukweli usemwe Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake. Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya...
  5. Mwalimu Nyerere alitukosea Sana

    Mwalimu Nyerere ndiye aliyesimika lugha ya kiswahili kuwa ya Taifa. Wengi watasema English ni lugha ya mkoloni lakini kiukweli ni lugha ya Maendeleo ya teknolajia na ustaarabu dunia. Mataifa Yote ya Afrika yanayotumia English Kama lugha ya Taifa, Yana Maendeleo makubwa ukilinganisha na...
  6. Mwezi wa 10 nataka kupanda ndege nakuja Dar. Naombeni ramanI ya kutoka uwanja wa Nyerere hadi Mbezi

    Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana. Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
  7. Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2. UMASKINI 3. MARADHI Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
  8. Maharage: Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaelekea kufikia 91%, matarajio ya kuanza kuzalisha umeme ni Juni 2024

    Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji. Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
  9. R

    Viongozi wa dini watembelea Bwawa la Nyerere

    Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
  10. Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  11. NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  12. Watu wana dhambi! Eti Mwalimu Nyerere alikuwa rafiki na Bernard Morrison?

    Sijasema mimi
  13. Nyerere alivyokuwa akiheshimiwa duniani

    Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza. https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
  14. Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  15. Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  16. Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

    Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW? Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
  17. Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  18. P

    SI KWELI Nyerere ni baba mzazi wa Freeman Mbowe

    Wakuu kwema? Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere. Eti...
  19. R

    Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  20. Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    Wakuu, Nlikuwa nasikiliza hotuba ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Julai 22 mwaka 1967 Baada ya kuwapokea Vijana waliotembea kwa Miguu kutoka Moshi. Alikuwa anaongelea kuhusu wanasiasa kununulika, Yaani hawa wananunulia na kusaliti vyama vyao au jamii iliyowachagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…