nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

    Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji. Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10 Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
  2. bukerebe alex

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga Bata wa nyama

    Habari wana jukwaa la ufugaji, Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu. Asanteni. Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Nyama zinafukuliwa na kuuzwa tena Kahama

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imebaini uchinjaji holela wa mifugo katika Manispaa ya Kahama na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuzifunga machinjio zote zinazoendeshwa kienyeji. Katika ripoti yake iliyotolewa jana na Mkuu wa Takukuru...
  4. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  5. rommy shabby

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa upatikanaji wa dagaa nyama wa Zanzibar

    Naomba kujua upatikanaji wa dagaa nyama
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Polisi hawakugawana nyama za wafanyabiashara bali ziliteketezwa na nyingine ilifukiwa ardhini, zilikuwa kilo 130 siyo 800!

    Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa. Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

    Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa. Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni. Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama Tanzania yapiga marufuku uuzaji wa nyama za mafungu

    Bodi ya Nyama Tanzania imepiga marufuku uuzaji wa nyama kwa mafungu katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti kwani inahatarisha afya ya mlaji. . Hayo yamesemwa na Kaimu Msajili wa bodi ya Nyama Tanzania Bw. Imani Sichalwe alipofanya ziara katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti na...
  10. mwanzo wetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi kajilisha nyama ya kitimoto kinyume na Imani

    Jamani naombeni ushauri demu wangu alikuja jana Geto ,kimsingi mimi ni mkristo na Yeye ni mwislamu, Mimi natabia ya kununua kilo ya nguruwe na kuitengeneza mwenyewe nyumban kutokana sipendi itengenezwe magengeni au mtaani nje na nyumbani. Sasa mimi huwa mafuta yanayobaki huwa nayatunza ktk...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeondoa marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya Nguruwe katika Wilaya sita za Kanda ya Ziwa

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeondoa marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya Nguruwe katika Wilaya sita za Kanda ya Ziwa ambazo zilikumbwa na Homa ya Nguruwe (ASF) mwezi mmoja uliopita. Prof Hezron Nonga, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo, amesema ASF imeondoka katika Wilaya hizo lakini Wilaya ya...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

    Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

    Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC ) Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure. Bali swali kubwa ni hili , ni yupi...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

    Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi? Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo. Hii itatufanya hata...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Kahama kwa muda usiojulikana

    Kufuatia kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Serikali imelazimika kupiga marufuku uuzaji, usafirishaji na ulaji wa nyama ya nguruwe kwa muda usiojulikana baada ya kuripotiwa ugonjwa huo kusambaa kwa kasi na kusababisha vifo vya wanyama hao zaidi ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hili la Manispaa ya Ilala kumiliki magari ya kubebea nyama na kusambaza mabuchani ni kuibana sekta binafsi

    Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa mifugo mh Gekui akiipongeza Manispaa ya Ilala kwa ubunifu huo wa kusafirisha nyama. Ni vema Serikali...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio mimea inayopendelea kula nyama kwa wingi zaidi

    Kupitia evolution, mimea hii ambayo inaishi kwenye ardhi isiyo na rotuba ya kutosha, ime-evolve mbinu za kujiongezea virutubishi kwa kula nyama za wadudu, video ina maelezo ya ziada.
  18. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mchele haujapanda ila nyama sasa, ni balaa!

    Habari wadau! Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka. Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya nyama inaweza na Sato

    Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau. wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana...
Back
Top Bottom