Nataka kufuga Bata wa nyama

bukerebe alex

Member
May 5, 2016
62
80
Habari wana jukwaa la ufugaji,

Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu.

Asanteni.

1619420764816.png

Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara
 
Bata wanazaliana Sana tatizo soko la kuuza hao Bata maji hakuna ,na Kama Kuna sehemu ya uhakika ya kuuza tupaane connection
 
Bata wanazaliana sana tatizo soko la kuuza hao Bata maji hakuna, na kama kuna sehemu ya uhakika ya kuuza tupaane connection.
 
Kwa mahitaj ya Bata Aina mbali mbai kama bata maji, mallard, perkin jumbo, black Swedish, blue Swedish, khaki Campbell
Wanapatikana chanika kwa Singa, Dar es Salaam
Call 0746696878

90610154-D328-484B-935E-02A1B4EFE0A3.jpeg


1063E2E9-E3E9-4D8D-915C-73FA352E4260.jpeg


749282E7-DB4C-4E49-B84D-86E1D84F0439.jpeg
 
Hao bata bukin bado wapo na bei iko je?
Nogesha Mambo Mkuu Watu Wakuunge Mkono Haraka
Weka Picture Halafu Unasema Anaitwa....Bei Tshs....
Hapo Haraka Tu Watu Watachukua Mzigo

Wengine Hatujui Yupi Anaitwaje
 
KATIKA NYAMA SIJAWAHI KUILA MPAKA KUFIKIA UMRI WANGU HUU WA 40 NI NYAMA YA HUKU NDEGE
NInacho fahamu Huwa hayaumwi hovyo kama kuku.
#possibly ana protein nyingi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom