nyakati

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kinana asome alama za Nyakati, wana CCM hawamwelewi

    KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA WATENDAJI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu mbele yetu ila tusikubali kurudi nyuma kamwe!

    Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo! Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM hujikosoa na kujisahihisha kulingana na Nyakati:- Mwenezi Makonda

    📌📌 MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA "CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani." Ndugu Paul Makonda...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

    Hatariii sana hii kitu. Unakuta vinyesi vinaelea, dah hatari sana hii kitu!
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  6. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Kwanini benki za Tanzania zina huduma mbovu na ukiritimba mwingi, haziendani na nyakati za sasa

    Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ. Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote. Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu...
  7. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna nyakati nchi za Kiafrika zitaongozwa na Viongozi Manyani

    Ni ishu ya muda tu ila hali ngumu ya maisha wanayoipitia binadamu wa mataifa ya Africa ipo siku nyani watapenya huko juu, Manyani yana uwezo wa kukwea kila aina zote za miti. Sasa nyani watafanya nini wakiwa na dhamana kwenye nchi zao, hilo mtajua kazi ya nyani ni ipi. Naomba tushirikiane...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

    Hiyo miaka ya 90 mzee baba. Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  11. Dickson Ng'hily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  12. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuzisoma alama za nyakati na kujiandaa

    kinachoendelea duniani ni mafahari kutunishiana misuli na hivyo kusababisha vita maeneo tofauti tofauti. Utawala wa marekani na ulaya kama dola unapitia wakati mgumu kutokana na nchi kama Urusi, China na Korea ya bwana kipanki kutaka kuonesha uwezo wao na kutotaka kunyenyekea tena. Serikali ya...
  14. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Djuma na Bangala hawakusoma alama za nyakati?

    JINA la Fiston Mayele halikuwepo katika orodha ya wachezaji waliotambulishwa Jumamosi jioni wakati Yanga walipofanya tamasha lao la wiki ya Mwananchi. Hakuna aliyeshangaa sana. Moja kati ya siri ambazo zimefichwa vibaya ni kwamba Mayele ameuzwa. Kila mtu anafahamu. Haikushangaza kuona jina lake...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madavadi awaambia Wakenya wajiandae kwa nyakati ngumu za uchumi, miezi sita haitoshi!

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka. Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Akina Mangungo wa nyakati zetu? Inafikirisha

    Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu. Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  18. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usumbufu wa daladala nyakati za jioni kisiwani Zanzibar

    Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika andiko hili, tutachunguza sababu za usumbufu wa upatikanaji wa daladala nyakati za jioni kwa kujaa...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendana na nyakati mbali mbali, kwenye maisha yako

    NAKUSHAURI Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo. Ngoja nikufundishe kitu. Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
  20. Be calm

    JamiiForums Tanzania Ni nyakati za kuomba

    Waliotangulia si wadhambi kutuzidi siye no, ni foleni tu inazidi kusogea. Zamu ya nani kati yangu mi na wewe hatujui? Kumbuka ukishazikwa na mambo yako yote hayana thamani tena mbele ya walimwengu waliohai, jina lako lapoteza Nuru duniani. Dunia ijapotikiswa ni nyakati za kuomba.Ee Mola...
Back
Top Bottom