Kwanini benki za Tanzania zina huduma mbovu na ukiritimba mwingi, haziendani na nyakati za sasa

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
2,323
5,946
Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ.

Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote.

Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu ilikua ni kuyapanga tu.

Kimbembe kinaanza:

1. Kadi imezuiliwa siwezi kufanya chochote mpaka nikaboreshe taarifa, kwenda bank wanataka nida, nida nimewapa wanasema inabidi kwenda kwa wanasheria nianze mchakato wa deed poll.

Kwa mwanasheria nikaenda tumeahauriana kwakua jina halibadiliki ni arrangement tu ya majina inafanyika hivyo hamna haja ya kuandaa deed poll, afidavit tu itatosha.

Kweli nikaandaliwa nikaenda nayo tawi la nmb, kufika, huko nao kwanza mmoja wa staff akaniambia inatakaiwa deed poll mwingine akajitokeza akasema affidavit inatosha, wakawa wanabishana, namimi ikabidi nitie utetezi kwamba jina halibadiliki, bali ni arrangement tu ya jina la la kati na la mwisho haya hapo nikafanikiwa tukaendelea na mchakato.

Wakataka kadi y nida nikawapa,

Chakushangaza naanza kuulizwa nimelaliza shule ya msingi mwaka gani, mara jina la kati la mama yako.

Maswali nilijibu ila nikawa najiuliza huu mlolongo wote wa nini, wana verify kitu gani, na kwenye nida kuna picha yangu.

Hilo likaisha

Kwenye kujaza form wakaniambia sign haifanani, ukawa mlolongo mwingine naambiwa nikale kiapo tena kwa mwanasheria cha kubadili signature, ikabidi nirudi tena kutolewa upepo na wakili yule, nikaandaliwa kiapo na kurudi nacho bank, kazi ikaanza upya.

Kiukweli zoezi lilikwisha ila shida yangu haikutatuka, nikaanza kufatilia tena napigwa danadana nenda kule nenda huku, kila mtu hajui nani wakunisaidia, nikaana kabisa nikija kutoa pesa zangu hii kadi naitupilia mbali.

Nikaja kwenda siku za mbele nikafanikiwa kutatua ila card ikawa bado na shida, hivyo nikatakiwa kuomba kadi mpya, mlolongo wake sasa mrefu balaa.

Kiukweli nimeshangaa mbona Equity bank hawana ukiritimba kiasi hichi.

Nimebaki nashangaa, nmb nimeambiwa kadi inatoka baada ya siku 10, ila equity bank nikienda siku moja naondoka na kadi yangu.

Kingine cha kunishangaza equity naenda na nida nawapatia siulizwi mambo ya shule ya msingi wala rangi ya nyumba yetu.

Cha mwisho, niliwahi kupata changamoto ya signature equity pia kwamba haifanani lakini yule mtu alinipa ushirikiano akaniambia irekebishe ifanane na hii kiukweli nilifungua ac muda mrefu na muda mwingine sign zinaweza chechemea ila nilipata ushirikiano na kingine equity wanatumia biometric verification, kwa maana unaweka dole gumba kwenye finger print scanner, sasa bank kubwa kama nmb wanashindwaje kujiongeza kuendana na mazingira ya sasa.

Nimeapa kamwe sintaweka pesa zangu huku kwasababu shida yoyote itakayojitokeza mlolongo ni mrefu sana.

Nmb mjirekebishe.

Kitu kidogo mlolongo mrefu sana.

Nawapongeza equity bank na bank nyingine zote ambazo zinaendana na wakati.

Nmb muda mwingi wafanyakazi wenu wanajaza maform, na kujaza taarifa kwenye computer utasema wana calculate mabomu ya nuclear mtu dk 15 ana click mouse anajaza taarifa.
 
Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ.

Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote.

Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu ilikua ni kuyapanga tu.

Kimbembe kinaanza :

1. Kadi imezuiliwa siwezi kufanya chochote mpaka nikaboreshe taarifa, kwenda bank wanataka nida, nida nimewapa wanasema inabidi kwenda kwa wanasheria nianze mchakato wa deed poll.

Kwa mwanasheria nikaenda tumeahauriana kwakua jina halibadiliki ni arrangement tu ya majina inafanyika hivyo hamna haja ya kuandaa deed poll, afidavit tu itatosha,

Kweli nikaandaliwa nikaenda nayo tawi la nmb, kufika, huko nao kwanza mmoja wa staff akaniambia inatakaiwa deed poll mwingine akajitokeza akasema wakawa wanabishana, namimi ikabidi nitie utetezi kwamba jina halibadiliki, bali ni arrangement tu ya jina la la kati na la mwisho haya hapo nikafanikiwa tukaendelea na mchakato.

Wakataka kadi ya nida nikawapa,

Cha kushangaza naanza kuulizwa nimelaliza shule ya msingi mwaka gani, mara jina la kati la mama yako,

Maswali nilijibu ila nikawa najiuliza huu mlolongo wote wa nini, wana verify kitu gani, na kwenye nida kuna picha yangu.

Hilo likaisha

Kwenye kujaza form wakaniambia sign haifanani, ukawa mlolongo mwingine naambiwa nikale kiapo tena kwa mwanasheria cha kubadili signature, ikabidi nirudi tena kutolewa upepo na wakili yule, nikaandaliwa kiapo na kurudi nacho bank, kazi ikaanza upya.

Kiukweli zoezi lilikwisha ila shida yangu haikutatuka, nikaanza kufatilia tena naoigwa danadana nenda kule nenda huku, kila mtu hajui nani wakunisaidia, nikaaoa kabisa nikija kutoa pesa zangu hii kadi naitupilia mbali.

Nikaja kwenda siku za mbele nikafanikiwa kutatua ila card ikawa bado na shida, hivyo nikatakiwa kuomba kadi mpya, mlolongo wake sasa mrefu balaa.

Kiukweli nimeshangaa mbona Equity bank hawana ukiritimba kiasi hichi.

Nimebaki nashangaa, nmb nimeambiwa kadi inatoka baada ya siku 10, ila equity bank nikienda siku moja naondoka na kadi yangu.

Kingine cha kunishangaza equity naenda na nida nawapatia siulizwi mambo ya shuke ya msingi wala jirani rangi ya nyumba yetu.

Cha mwisho, niliwahi kupata changamoto ya signature equity pia kwamba haifanani lakini yule mtu alinipa ushirikiano akaniambia irekebishe ifanane na hii kiukweli nilifungua ac muda mrefu na muda mwingine sign zinaweza chechemea ila nilipata ushirikiano na kingine equity wanatumia biometric verification, kwa maana unaweka dole gumba kwenye finger print sensor, sasa bank kubwa kama nmb wanashindwaje kujiongeza kuendana na mazingira ya sasa.

Nimeapa kamwe sintaweka pesa zangu huku kwasababu shida yoyote itakayojitokeza mlolongo ni mrefu sana.

Nmb mjirekebishe.

Kitu kidogo mlolongo mrefu sana.

Nawapongeza equity bank na bank nyingine zote ambazo zinaendana na wakati.

Nmb muda mwingi wafanyakazi wenu wanajaza maform, na kujaza taarifa kwenye computer utasema wana calculate mabomu ya nuclear mtu dk 15 ana click mouse anajaza taarifa.
Ni kwa sababu zinasimamiwa na kuendeshwa na vilaza chini ya munene kilaza na msanii
 
Tatizo Huko huko kwenye ukale ndio watu wanajaa kama nyumbu,
Wenzetu lalamiko moja tuu, kesho wanarudi mtaani kubembeleza wateja warudi.
 
Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ.

Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote.

Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu ilikua ni kuyapanga tu.

Kimbembe kinaanza :

1. Kadi imezuiliwa siwezi kufanya chochote mpaka nikaboreshe taarifa, kwenda bank wanataka nida, nida nimewapa wanasema inabidi kwenda kwa wanasheria nianze mchakato wa deed poll.

Kwa mwanasheria nikaenda tumeahauriana kwakua jina halibadiliki ni arrangement tu ya majina inafanyika hivyo hamna haja ya kuandaa deed poll, afidavit tu itatosha,

Kweli nikaandaliwa nikaenda nayo tawi la nmb, kufika, huko nao kwanza mmoja wa staff akaniambia inatakaiwa deed poll mwingine akajitokeza akasema affidaviti inatosha, wakawa wanabishana, namimi ikabidi nitie utetezi kwamba jina halibadiliki, bali ni arrangement tu ya jina la la kati na la mwisho haya hapo nikafanikiwa tukaendelea na mchakato.

Wakataka kadi y nida nikawapa,

Chakushangaza naanza kuulizwa nimelaliza shule ya msingi mwaka gani, mara jina la kati la mama yako,

Maswali nilijibu ila nikawa najiuliza huu mlolongo wote wa nini, wana verify kitu gani, na kwenye nida kuna picha yangu.

Hilo likaisha

Kwenye kujaza form wakaniambia sign haifanani, ukawa mlolongo mwingine naambiwa nikale kiapo tena kwa mwanasheria cha kubadili signature, ikabidi nirudi tena kutolewa upepo na wakili yule, nikaandaliwa kiapo na kurudi nacho bank, kazi ikaanza upya.

Kiukweli zoezi lilikwisha ila shida yangu haikutatuka, nikaanza kufatilia tena napigwa danadana nenda kule nenda huku, kila mtu hajui nani wakunisaidia, nikaana kabisa nikija kutoa pesa zangu hii kadi naitupilia mbali.

Nikaja kwenda siku za mbele nikafanikiwa kutatua ila card ikawa bado na shida, hivyo nikatakiwa kuomba kadi mpya, mlolongo wake sasa mrefu balaa.

Kiukweli nimeshangaa mbona Equity bank hawana ukiritimba kiasi hichi.

Nimebaki nashangaa, nmb nimeambiwa kadi inatoka baada ya siku 10, ila equity bank nikienda siku moja naondoka na kadi yangu.

Kingine cha kunishangaza equity naenda na nida nawapatia siulizwi mambo ya shule ya msingi wala rangi ya nyumba yetu.

Cha mwisho, niliwahi kupata changamoto ya signature equity pia kwamba haifanani lakini yule mtu alinipa ushirikiano akaniambia irekebishe ifanane na hii kiukweli nilifungua ac muda mrefu na muda mwingine sign zinaweza chechemea ila nilipata ushirikiano na kingine equity wanatumia biometric verification, kwa maana unaweka dole gumba kwenye finger print scanner, sasa bank kubwa kama nmb wanashindwaje kujiongeza kuendana na mazingira ya sasa.

Nimeapa kamwe sintaweka pesa zangu huku kwasababu shida yoyote itakayojitokeza mlolongo ni mrefu sana.

Nmb mjirekebishe.

Kitu kidogo mlolongo mrefu sana.

Nawapongeza equity bank na bank nyingine zote ambazo zinaendana na wakati.

Nmb muda mwingi wafanyakazi wenu wanajaza maform, na kujaza taarifa kwenye computer utasema wana calculate mabomu ya nuclear mtu dk 15 ana click mouse anajaza taarifa.
Mkuu ,Nyie wengi wenu mlitumia majina ya watu na vyeti vya watu kupata kazi ,Mnapofuatilia mafao yenu NSSF au PssF hawana utani na majina yakipishana hata herufi moja

Bank ulitumia majina tofauti kufungua akaunti na NSSF majina yako yanasoma zig zag ,

Hivi kwa akili zako ni nani atakubali kubadili majina yako kirahisi Bank au NSSF?

Bank na NSSF zinaendeshwa kwa sheria

Nenda mahakamani ukaape na kuyakana majina yako ya mchongo au kwa mwana sheria

Na kama una majina ya mchongo nenda kasajili jina halisi kama ulivyoambiwa huko wizara ya ardhi

Unaitwa mfano ;Juma Ben Roger halafu unajitambulisha kama Roger Ben Juma hao ni watu wawili tofauti kabisa kisheria

Mkuu ,Wewe ndio tatizo ,Tena una matatizo makubwa sana

Unawezaje kuwa na majina tofauti tofauti?

Na kwanini usiwe na majina yanayofanana kwenye vitambulisho vyako vyote?

Wakati unafungua akaunti kwa mara ya kwanza ulitumia majina ya kitambulisho yaliyokaa kwa mpangilio gani?

Wewe ni tatizo itakuwa unajitambulisha kwa majina tofauti na kuyapangilia utakavyo

Watanzania wengi hawafuatilii majina yao mpaka wawe na matatizo na Pension zao huko NSSF au PssF

Kuna watu wana vituko sana Tanzania mtu majina ya shule yanasoma tofauti akifika ofisini yanasoma tofauti na kwenye NIDa yanasoma tofauti bado leseni yanasoma tofauti

Jitu lina majina zaidi ya saba ,Jina la babu ,Jina la Baba,Jina la ukoo,Jina la ubatizo unaweka na jina la bosi

Mtu anaitwa Fredrick Musa John kanjunjumele Mwakifwamba Antony Msuya

Nida ameandika Fredrick kanjunjumele Antony

Leseni ameandika Fredrick antony Msuya

Ofisini ameandika Fredrick Musa John

Hi watu wa namna hii unawasaidia vipi?
 
Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ.

Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote.

Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu ilikua ni kuyapanga tu.

Kimbembe kinaanza:

1. Kadi imezuiliwa siwezi kufanya chochote mpaka nikaboreshe taarifa, kwenda bank wanataka nida, nida nimewapa wanasema inabidi kwenda kwa wanasheria nianze mchakato wa deed poll.

Kwa mwanasheria nikaenda tumeahauriana kwakua jina halibadiliki ni arrangement tu ya majina inafanyika hivyo hamna haja ya kuandaa deed poll, afidavit tu itatosha.

Kweli nikaandaliwa nikaenda nayo tawi la nmb, kufika, huko nao kwanza mmoja wa staff akaniambia inatakaiwa deed poll mwingine akajitokeza akasema affidaviti inatosha, wakawa wanabishana, namimi ikabidi nitie utetezi kwamba jina halibadiliki, bali ni arrangement tu ya jina la la kati na la mwisho haya hapo nikafanikiwa tukaendelea na mchakato.

Wakataka kadi y nida nikawapa,

Chakushangaza naanza kuulizwa nimelaliza shule ya msingi mwaka gani, mara jina la kati la mama yako.

Maswali nilijibu ila nikawa najiuliza huu mlolongo wote wa nini, wana verify kitu gani, na kwenye nida kuna picha yangu.

Hilo likaisha

Kwenye kujaza form wakaniambia sign haifanani, ukawa mlolongo mwingine naambiwa nikale kiapo tena kwa mwanasheria cha kubadili signature, ikabidi nirudi tena kutolewa upepo na wakili yule, nikaandaliwa kiapo na kurudi nacho bank, kazi ikaanza upya.

Kiukweli zoezi lilikwisha ila shida yangu haikutatuka, nikaanza kufatilia tena napigwa danadana nenda kule nenda huku, kila mtu hajui nani wakunisaidia, nikaana kabisa nikija kutoa pesa zangu hii kadi naitupilia mbali.

Nikaja kwenda siku za mbele nikafanikiwa kutatua ila card ikawa bado na shida, hivyo nikatakiwa kuomba kadi mpya, mlolongo wake sasa mrefu balaa.

Kiukweli nimeshangaa mbona Equity bank hawana ukiritimba kiasi hichi.

Nimebaki nashangaa, nmb nimeambiwa kadi inatoka baada ya siku 10, ila equity bank nikienda siku moja naondoka na kadi yangu.

Kingine cha kunishangaza equity naenda na nida nawapatia siulizwi mambo ya shule ya msingi wala rangi ya nyumba yetu.

Cha mwisho, niliwahi kupata changamoto ya signature equity pia kwamba haifanani lakini yule mtu alinipa ushirikiano akaniambia irekebishe ifanane na hii kiukweli nilifungua ac muda mrefu na muda mwingine sign zinaweza chechemea ila nilipata ushirikiano na kingine equity wanatumia biometric verification, kwa maana unaweka dole gumba kwenye finger print scanner, sasa bank kubwa kama nmb wanashindwaje kujiongeza kuendana na mazingira ya sasa.

Nimeapa kamwe sintaweka pesa zangu huku kwasababu shida yoyote itakayojitokeza mlolongo ni mrefu sana.

Nmb mjirekebishe.

Kitu kidogo mlolongo mrefu sana.

Nawapongeza equity bank na bank nyingine zote ambazo zinaendana na wakati.

Nmb muda mwingi wafanyakazi wenu wanajaza maform, na kujaza taarifa kwenye computer utasema wana calculate mabomu ya nuclear mtu dk 15 ana click mouse anajaza taarifa.
Tatizo ni incompetent personnel ukiwa na watu wenye ujuzi nusu nusu ni shida kubwa watakusumbua kwenye mamba madogo madogo yasiyo na maana.
 
Sio bank pekee Tanzania nzima imejaa customer care mbovu iwe bank hospital shule halmashauri(hapa ndio pameoza)maduka ya kawaida (hasa yenye wateja wengi)
Sahihi kabisa. Customer care ni tatizo sehemu nyingi Tanzania yetu, hasa wanatumishi wa kike ndio wana huduma isiyopendeza.
 
Alafu unapoandika jambo Pia ujue unataka waone ujumbe wako Wana akili timamu na wengine zaidi ya za kwako.

Kila Taasisi Ina Taratibu zake. Mwanasheria sio wa NMB Haina maana yeye akishasema ndio basi. Ila wanashirikishana katika kutafuta verification ya jambo Mwisho wa siku NMB anaendelea na Taratibu zake za kiusalama Kumbuka Hizo ni pesa Sio nepi za mtoto.

Wewe kama umetumwa kusambaza mapenzi yako na Equity Bank tafuta njia bora zaidi
Hapa sijaona kabisa hoja ya msingi

Kwanza inaonyesha kabisa shule mmepishana kidogo hata hayo maneno ya kingereza unavyoandika ...Unajaribu kwenda na wengine lakini hawakutambui

Kwa Taarifa yako Equity Bank Wana huduma mbovu sana. Nilikuwa na account hapo nimeifunga sababu ya huduma mbovu. Very bad costomer care tena wenye ufahamu mdogo sana
 
Sawa meneja wa Nmb Chikongola tumekusikia.
 
Inawezekana umesoma sana ila hujitambui.

Nimelinganisha huduma za sehemu mbili tofauti na nimetoa rai bank za ndani ziboreshe huduma.

Wewe unakuja kuhesabu maneno ya kiingereza kwenye uzi 😂😂😂 aisee, tuna kazi sana kama taifa, kama aina ya watumishi ndio nyie tuliokua nao.
 
Halafu wanapenda sana kuwaweka watu foleni bila ya sababu za msingi. Unakuta madirisha ya kutolea huduma yako manne, ila yanayohudumia wateja yako mawili tu.

Na wakati huo huo unakuta wahudumu wake wanazunguka zunguka tu kutoka ofisi moja kwenda nyingine ndani ya hiyo benki. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom