n.k

  1. Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  2. S

    Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  3. Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

    Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali. Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
  4. Kabila lako bado mnaendelea kufanya matambiko ama mmeikacha asili yenu? Tambiko lenu hufanyikaje liwe la upatanishi, kufukuza mikosi, msamaha, n.k

    kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake . yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
  5. Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  6. Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  7. Karibu nikuandikie sponsorship proposal, company profile, business plan, n.k

    Karibuni GETRICH BUSINESS CONSULTANTS wataalamu wa kuandika na kushauri juu ya uandishi bora wa PROPOSAL, COMPANY PROFILE, BUSINESS PLAN na kadharika. ofisi zetu zipo buguruni Rozana (Kwenye jengo la Rozana Complex frame no 1.) Kwa maelezo zaidi namba zetu ni 0710 782874
  8. Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  9. Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    -kuweka hamira kwenye wali -kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu), -kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande) -viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo. -kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
  10. umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  11. S

    Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

    Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
  12. Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  13. E

    Ukiwasikiliza wasanii wanataka watu kama Babu Tale, Salam n.k kwenye shirikisho

    Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo. Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
  14. A

    Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

    Salama wakuu Ningependa kujuwa sababu za msingi na za kueleweka kuhusu Vinywaji Vikali,, Nimeenda maeneo mengi kunywa ila sijabahatika kukuta asilimia kubwa ya Vinywaji Vikali vikiwa kwenye friji je sababu kubwa huwa ni ipo? Ningependa kujuwa ni maeneo gani naweza pata K-vant ya baridi au...
  15. INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  16. Kama uliweza kumaliza mitihani yako, weka hapa stori yako, mbinu, changamoto kuwapa matumaini watahiniwa

    Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
  17. Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  18. Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

    Habari Guys Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako. Kuna option mbili Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili tofauti, Maana yake mtu hatoweza kuwasha au kuondoka na hilo gari unless awe ameregister vidole...
  19. M

    Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  20. Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…