Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,344
5,938
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia.

Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa Morocco, huyo huyo anaejiita mwanaume anawashabikia ufaransa wanaopromoti ushoga, huyo huyo anaejiita mwanaume anashabikia timu sababu ina weusi.

Unaacha kushabikia Waafrika wenzio unashabikia Wazungu, eti kwa sababu ina mchanganyiko na wasaliti walio ukana uraia wao! Waafrika wengi wao wana tabu mno, ALEYOMBBA GEKKE waafrika wengi wao wana tabu, sio ubaguzi tu bali na ukatili pia tunao. Naomba nisieleweke vibaya👉watu weusi wengi wao ni wabaguzi, wakatili na wanaroho mbaya. Tujirekebishe.

Na nimekuja kuamini haya, that day walipokutana Egypt na Senegal asilimia kubwa ya mashabiki wa Kibantu walikua upande wa Senegal. Leo hii anakuja Mbantu kulialia ya Morocco lakini hakumbuki ya Egypt na Senegal n.k.

Kwani Morocco wana kosa gani? Si wanapigania nchi yao? Hapo kosa lipo wapi? Wao wapo kwa ajili ya nchi yao na watu wao, lakini kuna wabantu wanalialia. Tuacheni ubaguzi.

So, hapa nachoona, kinachoangaliwa ni rangi especially waarabu, watu ambao walibarikiwa, mtawachukia, mtawabagua na kuwasema vibaya lakini hakibadiliki chochote dhidi yao, watabaki kuwa watu wakarimu, wana imani, na wavumilivu kwa haya wanayopitia kutoka mataifa ya magharibi na kwa baadhi ya Wabantu tunaoishinao huku.

God bless Arabian countries, awaongoze, awalinde, na Allah aendelee kuwapa subira na haya wanayopitia. Wale wanaowachukia hawa ndugu zetu, na kuwasusa na kushabikia wazungu, Mungu atawaongoza.

ALEYOMBBA GEKKE, ipo siku mtawakubali tu waarabu.

Mungu awabariki sana hawa ndugu zetu Morocco, mmepigana vyakutosha mpaka semi final wakati wakina Ghana na wenzie walitolewa kwa aibu.

Hakika Morocco ni wanaume na wale wanaodai kuwa ni laana, hizo ni kasumba zenu, ndivyo mnavyokaririshana huko mitaana na vijiwe vya kahawa. Kwa sisi wenye imani zetu upumbavu kama huu haupo, eti hiyo ni laana! Hivi mnaijua laana ninyi!

Sasa tunasubiri hiyooJjumapili hao Wabantu wasaliti mchanganyiko na Wazungu tuwabonde kisawasawa. Sisi wana Argentina tutalipiza kisasi, siku hiyo mtalia sana.

Waabheja sana.
 
Vipi imekuuma Morroco kufungwa nyie mashabiki wa mpira kwa msimu mnakera sana
 
Wewe naye mwanaume unalazimisha undugu na mtu asiyekuhitaji?

Wao walishakataa mara kadhaa kuwa wao si Waafrika bali Waarabu. Ni eneo tu kijiographia linawatambua kama Waafrika. Ila mila, desturi na utamaduni wao kwa Ujumla si wa Kiafrika.

Uafrika si eneo tu.

Ukiachwa achika. Ukikataliwa kaa kando.
 
Hao ni ndugu zako wewe. Usilazimishe mambo. Washasema ushindi ni wakwao na waarabu wote plus Muslim sasa unataka na wa imani nyingine wawakubali kwa lipi
 
Wenye roho mbaya duniani
1. waarabu,
2. wafrika,
3 . wahindi.

So mwizi anawezaje kumkemea mwizi mwenzake? Yote ni majizi tu.
 
Sijui umeielewa mada vizuri! Nani kaumia hapo! Siwezi kuumia ama kuteseka sababu sina chuki na mtu.
Embu kuwa na akili Mada Yako mzima unawaponda watu walioishabikia Ufaransa na Kila mmoja anajua wewe ulikuwa shabiki wa Morocco Tangu mwanzo haihitaji kutumia akili nyingi kujua kuwa imekuuma.

My friend maisha ni kuchagua wewe umechagua Kushabikia Morroco waliosema ushindi ni wao ni kwa ajili ya waarabu, waislamu na Wamorocco na mwingine amechagua Kushabikia Ufaransa kwa sababu Ina idadi kubwa ya wachezaji weusi Achana na maamuzi ya mtu.

Hakuna mtu anaye Lia Lia hapa ni we tu na upumbavu wako.
 
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia.

Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa Morocco, huyo huyo anaejiita mwanaume anawashabikia ufaransa wanaopromoti ushoga, huyo huyo anaejiita mwanaume anashabikia timu sababu ina weusi.

Unaacha kushabikia Waafrika wenzio unashabikia Wazungu, eti kwa sababu ina mchanganyiko na wasaliti walio ukana uraia wao! Waafrika wengi wao wana tabu mno, ALEYOMBBA GEKKE waafrika wengi wao wana tabu, sio ubaguzi tu bali na ukatili pia tunao. Naomba nisieleweke vibaya👉watu weusi wengi wao ni wabaguzi, wakatili na wanaroho mbaya. Tujirekebishe.

Na nimekuja kuamini haya, that day walipokutana Egypt na Senegal asilimia kubwa ya mashabiki wa Kibantu walikua upande wa Senegal. Leo hii anakuja Mbantu kulialia ya Morocco lakini hakumbuki ya Egypt na Senegal n.k.

Kwani Morocco wana kosa gani? Si wanapigania nchi yao? Hapo kosa lipo wapi? Wao wapo kwa ajili ya nchi yao na watu wao, lakini kuna wabantu wanalialia. Tuacheni ubaguzi.

So, hapa nachoona, kinachoangaliwa ni rangi especially waarabu, watu ambao walibarikiwa, mtawachukia, mtawabagua na kuwasema vibaya lakini hakibadiliki chochote dhidi yao, watabaki kuwa watu wakarimu, wana imani, na wavumilivu kwa haya wanayopitia kutoka mataifa ya magharibi na kwa baadhi ya Wabantu tunaoishinao huku.

God bless Arabian countries, awaongoze, awalinde, na Allah aendelee kuwapa subira na haya wanayopitia. Wale wanaowachukia hawa ndugu zetu, na kuwasusa na kushabikia wazungu, Mungu atawaongoza.

ALEYOMBBA GEKKE, ipo siku mtawakubali tu waarabu.

Mungu awabariki sana hawa ndugu zetu Morocco, mmepigana vyakutosha mpaka semi final wakati wakina Ghana na wenzie walitolewa kwa aibu.

Hakika Morocco ni wanaume na wale wanaodai kuwa ni laana, hizo ni kasumba zenu, ndivyo mnavyokaririshana huko mitaana na vijiwe vya kahawa. Kwa sisi wenye imani zetu upumbavu kama huu haupo, eti hiyo ni laana! Hivi mnaijua laana ninyi!

Sasa tunasubiri hiyooJjumapili hao Wabantu wasaliti mchanganyiko na Wazungu tuwabonde kisawasawa. Sisi wana Argentina tutalipiza kisasi, siku hiyo mtalia sana.

Waabheja sana.
Umeongea utumbo sana. Wao hao waarabu wenzio ndio waliokataasisi

Umeongea utumbo. Hao waarabu wenzio Morocco ndio waliokataa kwamba wao sio waafrika. Wakaenda mbali zaidi wakasema Afrika wasishangilie kabisa ushindi wa wao kwa hatua waliyofikia. Wakasema wao sio waafrika. Wakaongezea wao ni wazungu. Wanaopaswa kuwashangilia ni waraabu wenzao au wazungu.

Hilo la kujiita wao ni waarabu halina shida. Lililoleta shida kwa Afrika kwamba waafrika na Afrika haipaswi kuwashangilia. Tena mpaka serikali ya Morocco nao wameongeza kwamba wao sio waafrika na ushindi wao sio kwa ajili ya Africa. Wakaenda mbali wakazitaja na nchi ambazo wanazibembeleza ziwashangilie.

Afrika haipaswi kuwashangilia wakati tiket ya kwenda huko wameipata kupitia Afrika?. Kwa hiyo kukujibu utumbo wako ni kwamba waafrica hawajawakataa hao waarabu Koko. Ila wao Morocco wameikataa Africa. Ningekuwa mimi nahusika na mambo ya mpira CAF trip zijazo wapigwe pembeni,wanajikuta tu hawamo kwenye ratiba za Africa. Ng'ombe kabisa wewe na wao
 
Hao ni ndugu zako wewe. Usilazimishe mambo. Washasema ushindi ni wakwao na waarabu wote plus Muslim sasa unataka na wa imani nyingine wawakubali kwa lipi

Hata kama, huo ushindi ni kwa ajili ya wamorocco, sasa wewe mbantu inakuhusu nini kwa mfano!! Mfano Tanzania iseme ushindi ni kwa ajili ya watanzania kuna shida!! Tuacheni chuki.
 
Anza wewe kuacha chuki kwa watanzania wenzio kwanza. Kwa nn wewe ikuume walioamua kufuata misimamo yao
 
Umeongea utumbo sana. Wao hao waarabu wenzio ndio waliokataasisi

Umeongea utumbo. Hao waarabu wenzio Morocco ndio waliokataa kwamba wao sio waafrika. Wakaenda mbali zaidi wakasema Afrika wasishangilie kabisa ushindi wa wao kwa hatua waliyofikia. Wakasema wao sio waafrika. Wakaongezea wao ni wazungu. Wanaopaswa kuwashangilia ni waraabu wenzao au wazungu.

Hilo la kujiita wao ni waarabu halina shida. Lililoleta shida kwa Afrika kwamba waafrika na Afrika haipaswi kuwashangilia. Tena mpaka serikali ya Morocco nao wameongeza kwamba wao sio waafrika na ushindi wao sio kwa ajili ya Africa. Wakaenda mbali wakazitaja na nchi ambazo wanazibembeleza ziwashangilie.

Afrika haipaswi kuwashangilia wakati tiket ya kwenda huko wameipata kupitia Afrika?. Kwa hiyo kukujibu utumbo wako ni kwamba waafrica hawajawakataa hao waarabu Koko. Ila wao Morocco wameikataa Africa. Ningekuwa mimi nahusika na mambo ya mpira CAF trip zijazo wapigwe pembeni,wanajikuta tu hawamo kwenye ratiba za Africa. Ng'ombe kabisa wewe na wao

Unasema nimeongea utumbo sio, huo utumbo utawanufaisha wengi humu kupitia hii mada, chuki zinakusumbua, Mungu atakuongoza uondokane na chuki.
 
Embu kuwa na akili Mada Yako mzima unawaponda watu walioishabikia Ufaransa na Kila mmoja anajua wewe ulikuwa shabiki wa Morocco Tangu mwanzo haihitaji kutumia akili nyingi kujua kuwa imekuuma.

My friend maisha ni kuchagua wewe umechagua Kushabikia Morroco waliosema ushindi ni wao ni kwa ajili ya waarabu, waislamu na Wamorocco na mwingine amechagua Kushabikia Ufaransa kwa sababu Ina idadi kubwa ya wachezaji weusi Achana na maamuzi ya mtu.

Hakuna mtu anaye Lia Lia hapa ni we tu na upumbavu wako.

Kwahiyo unashabikia timu kwa sababu ina weusi sio, lakini hapo hapo ni kwa faida ya wafaransa na ulaya kwa ujumla sio! Ila waafrika wenzio ukawatosa haijalishi tukonao bara moja!! Sasa huu utasema sio ubaguzi!!

Tukubali tukatae waafrika wanaongoza kwa ubaguzi duniani japo sio wote, mwanzo nilifikiri wahindi ndio namba one, kumbe sivyo nilivyofikiri..

Olenimala nkoi? Au niongee kichina utanielewa!
 
Kumbuka Wamorocco ndio waliukana Uafrika wakadai wao ni Waarabu wakasahau kuwa wanawakilisha Afrika,sasa kuna haja gani ta kujipendekeza kwao.
 
Achana na mambo ya soka umeongea vitu havina mantiki Morroco kweny qualifications alipitia njia ya Africa hakupitia njia ya Asia Wala Islamic sjui Saudi Arabia, Yemen au Iran mechi ya Mwisho ya kufuzu alicheza na Congo inakuaje Leo wamefika Nusu wakane kuwa sio waafrica we huoni kama ni ujinga wa kiwango Cha mwisho huwo eti Leo useme ushindi wetu ni Kwa ajili ya waislamu na WA Morroco uko ni kujielewa kweli wakati unaqualify kwenda huko ulipitia njia ya kucheza na Timu za waislamu si ulipitia Africa tena chini ya CAF warabu tofauti na mafuta ni jamii za watu ambazo hawana akili ilo lazima ukubali
 
Mimi na wewe ni nani mwenye chuki kwa wenzie? Mimi ni muislamu, na uislamu hautufundishi kuchukiana. Watanzania, wamorocco na duniani kote nawapenda.
Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Kwahiyo unashabikia timu kwa sababu ina weusi sio, lakini hapo hapo ni kwa faida ya wafaransa na ulaya kwa ujumla sio! Ila waafrika wenzio ukawatosa haijalishi tukonao bara moja!! Sasa huu utasema sio ubaguzi!!

Tukubali tukatae waafrika wanaongoza kwa ubaguzi duniani japo sio wote, mwanzo nilifikiri wahindi ndio namba one, kumbe sivyo nilivyofikiri..

Olenimala nkoi? Au niongee kichina utanielewa!
Upumbavu wenu na Morocco peleka ukouko
 
Back
Top Bottom