njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaopiga na kuunga mkono kuwepo kwa Corona, njia za kujiepusha na chanjo msikieni Dkt. Fauci

    “You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia nyepesi ya kuuondoa umasikini

    Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya maisha yetu ya leo unaotufanya tuishi tunavyo ishi ni uchumi. Uchumi katika ulimwengu umekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara ya njia nne Arusha Inufaishe waendesha vyombo vya moto pia

    Kwa wale wageni Arusha, Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi. Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia nzuri za kupunguza ajali za bodaboda

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukitaka kupata hela yangu bora uje na njia ya kunitapeli kuliko kuniomba

    Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia. Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania 10 Hardest Math Problems That Remain Unsolved

    https://www.popularmechanics.com/science/math/g29251596/impossible-math-problems/ 1.The Collatz Conjecture 2.Goldbach’s Conjecture 3.The Twin Prime Conjecture 4.The Riemann Hypothesis 5.The Birch and Swinnerton-Dyer Conjecture 6.The Kissing Number Problem 7.The Unknotting Problem...
  12. JamiiForums Tanzania Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitashuka kama mana jangwani. Mapito ya Mbowe na CHADEMA ndio njia yenyewe chungu yenye shubiri lakini yenye tija

    Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba. Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mfumo Dola wa CCM, Tanzania inapotea njia

    CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma. Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo. Kutoka vyama vingi vya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  16. JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kutokomeza uvutaji wa bangi nchini Tanzania

    Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
  18. JamiiForums Tanzania Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  19. JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…