njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake. ===
  2. Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  3. Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  4. SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . Endapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  5. Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  6. SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
  7. SoC03 Utamaduni wa Kujiuzulu ni Uungwana na Njia Bora ya Uwajibikaji

    Utangulizi Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza. Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
  8. L

    Wanawake wa China na Afrika watafuta njia za kushirikiana na kutekeleza majukumu makubwa zaidi katika jamii

    Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
  9. Orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania

    Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania. 1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya Wanyama ya Ngorongoro. 2. Kucheza michezo ya maji: Furahia shughuli za maji kama vile kuogelea...
  10. Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  11. B

    Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  12. M

    Kipande Cha Barabara Kuu Arusha-Moshi- Tanga, kina network ya simu njia nzima, safi Nape

    Nimetembea sehemu mbalimbali Tanzania, hasa katika Nchii hii ambayo ni huru, Maeneo Mengi nchi hii mtandao bado ni shida. Ila Cha ajabu Kuna route moja imenishangangaza katika njia zetu kuu zote za Barabara , nimeshangaa napata network Barabara nzima Kwa umbali mkubwa sana jambo ambalo si...
  13. SoC03 Tutokomeze majanga ya moto shuleni; Njia bora zaidi

    Ni kwa muda sasa,WATANZANIA tumekuwa tukipitia maumivu makali ya Kupoteza Ndugu zetu wapendwa kwa ajali za moto mara kwa mara mashuleni.. (picha kutoka JAMII FORUM) Lakini je? ni kwanini basi licha ya kutuumiza vikali kiasi hiki,majanga haya bado yameendelea kujirudia mara kwa...
  14. B

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
  15. Nini kilikupa hasira ya kuzisaka noti na kuusaka utajiri kwa njia yoyote ile? Changu ni hiki

    Nikikumbuka nacheka sana. Nilipomaliza chuo nilipata internship mahala fulani, baada ya mwaka nikapata fulltime job kwenye NGO moja kubwa sana hapa TZ, hapo nilikua kijana wa starehe sana. Nilikua nna tabia moja mbovu sana mwisho wa mwezi, mshahara ukiingia nusu yake nalewea na kuspenda na...
  16. Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  17. Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  18. SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  19. Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  20. 5

    Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

    Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo. Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…