njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. Molleli

    TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  2. beth

    UN: Watu milioni 16 kukabiliwa na njaa Yemen

    Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula. Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
  3. Ritz

    Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

    Wanaukumbi. Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi. Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
  4. FRANCIS DA DON

    Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

    Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
  5. Darucha

    Jamani iacheni iitwe njaa kwa kweli

    Asikuambie mtu jamani njaa ni hatari Sana sikia tu kwa wenzako. Omba isikukute Mara ya Kwanza nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwizi kaingia kwenye nyumba ya mtu kapakua wali na maharage kwenye sufuria kajilia halafu kasepa na hajaiba chochote zaidi ya wali Njaa sometimes inafanya akili iruke...
  6. Real64

    Ukishiba usisahau wenye njaa

    Ukiwa kwenye mfumo au nje ya mfumo na una connection, huwezi kuona umuhimu wa baadhi ya sheria kufanyiwa marekebisho. Ukiwa kwenye mfumo ni rahisi kuwafahamu baadhi ya watendaji walio katika sekta mbalimbali vivo hivyo ukiwa nje ya mfumo na una connection ndani ya mfumo ukiwa na shida yoyote...
  7. beth

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 400,000 wanakabiliwa na njaa Tigray

    Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 400,000 huko Tigray Nchini Ethiopia wanakabiliwa na uhaba wa chakula, wengine Milioni 1.8 wanaelekea kupata shida hiyo na Watoto 33,000 wakiwa na Utapiamlo Kaimu Mkuu wa Misaada Umoja wa Mataifa (UN), Ramesh Rajasingham amesema watu Milioni 2 bado hawana...
  8. TheDreamer Thebeliever

    Kudai katiba mpya sasa hivi ni sawa na kuchenji buku kwa njaa ya usiku mmoja wakati haujui kesho yako itakuwaje?

    Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko. Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
  9. Sam Gidori

    Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  10. W

    CHADEMA in Limbo: Makundi, njaa, upendeleo vyatajwa kuwa chanzo cha sintofahamu

    Ndugu zangu, Wakati umefika sasa baadhi ya viongozi wamemweleza Mbowe aache kuhadaa makamanda "kukubaliana na njaa, kuendesha chama kwa hela zao" ilihali yeye anatumia rasilimali za chama kuaafiri, kujilipa posho nk. Kiongozi mmoja ambaye ni mwandamizi alisema "huwezi kuwaambia wenzako...
  11. beth

    WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  12. D

    Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

    Njaa inaweza kumfanya mtu afanye jambo la ajabu sana! Tena usiombe upatwe na njaa ikiwa unga umeisha, mafuta yameisha, gesi imeisha, luku imekata n.k Hakika kuna uchizi huwa unaingia ghafla hata usijue cha kufanya. Njaa huifanya akili ifanye kazi kwa speed kubwa halafu isipate majibu sahihi...
  13. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa waonya juu ya kitisho cha njaa Myanmar

    Umoja wa Mataifa unasema mamilioni ya watu nchini Myanmar wanakabiliwa na njaa katika wakati ambapo taifa hilo linapambana na mkwamo wa kisiasa na kiuchumi kutokana na hatua ya jeshi kuchukuwa madaraka kwa nguvu. Kwa mujibu wa uchambuzi uliotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)...
  14. Analogia Malenga

    Wakenya Milioni 1.4 wakabiliwa na njaa

    Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema maeneo yaliyo...
  15. JOYOPAPASI

    Watanzania lazima bwawa la Rufiji likamilike, Wanasiasa njaa pembeni

    Vita ya mradi wa Rufiji sio ya kwanza Afrika. HUENDA wengi hawajui visa vya mabwawa ya kufua umeme na historia ya Afrika. Nimeona bora niwaelimishe. Mabwawa haya yana kitu kinaitwa 'geo-politics' toka zamani na yapo mabwawa ambayo yamewahi kuhujumiwa ili yasijengwe. Miongoni mwa mabwawa hayo...
Back
Top Bottom