Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani.

Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha hiyo kutoka kwa matajiri hao akisema itatosha kuondoa tatizo la njaa duniani.

Musk ana utajiri wa Dola bilioni 311, ameahidi kutoa hela hiyo ikiwa mpango utakuwa wazi wa namna zitakavyotumika.

======

Elon Musk, the world’s richest man, challenged a United Nations official’s claim that just a small percentage of his wealth could help solve world hunger.

Musk was responding to comments by David Beasley, director of the UN’s World Food Programme, who repeated a call last week following an earlier tweet this month asking billionaires like Musk to “step up now, on a one-time basis.”

Beasley specifically called for action from Musk and Amazon.com Inc. co-founder Jeff Bezos, the two men atop the Bloomberg Billionaires Index. Just $6 billion could keep 42 million people from dying, Beasley said.

If the World Food Programme, using transparent and open accounting, “can describe on this Twitter thread exactly how $6B will solve world hunger, I will sell Tesla stock right now and do it,” Musk wrote in a Twitter post.

Musk is CEO of the electric-vehicle company, which last week joined the handful of companies valued at more than $1 trillion.

The $6 billion amount would be just a small fraction of Musk’s current net worth of $311 billion -- and less than the $9.3 billion his wealth increased on Oct. 29 alone, according to the billionaires index
 
Tajiri wa dunia Elon Musk ameivunja rekodi ya kuwa Mtu wa kwanza katika historia Duniani kuwahi kuvuka utajiri wa USD Bilioni 300, hii ni baada ya utajiri wake kuongezeka kwa USD Bilioni 10 baada ya hisa za Tesla kupanda.

Utajiri wa Musk umefikia USD Bilioni 302 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bloomberg Billionaires' Index, hisa za Tesla zilipanda baada ya kutangaza dili la magari mapya 100,000 na kampuni ya kukopesha Magari ya Hertz.

Kwa utajiri huo Musk anamzidi zaidi ya USD Bilioni 100 Tajiri wa pili wa dunia Jeff Bezos ambaye ana utajiri wa USD Bilioni 199, sio tu kamzidi Bezos bali kazizidi Nchi nyingi duniani kwenye pato la Taifa la mwaka.

images - 2021-11-01T073750.074.jpeg
 
Njaa duniani inasababishwa na mlolongo wa mambo mengi ikiwemo magonjwa, vita, mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa idadi ya watu, sera na siasa za hovyo kuhusu utafiti na uwekezaji kwenye uzalishaji.

Uhifadhi na uchakataji (food processing) wa chakula, elimu duni kuhusu lishe nk. nk. nk, na yote haya yamesababishwa na binadamu mwenyewe.

Sasa ni upuuzi kufikiria kwamba kuna mtu anazo pesa za kutatua matatizo ya njaa duniani.
 
Lakini ni hoja nzuriya beberu Elon lazima unapotaka fund lazima uweke mikakati ya namna itavyoweza fanikisha dhima kusudiwa.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Beberu kaongea kisomi sana ila kihualisia WFP iko hapo mpaka kimkakati, kama njaa ikiisha kuna haja ya kuwa na WFP😅😅
Yeye atoe supply chain iongezeke ajira na biashara zichangamke
 
Back
Top Bottom