njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Putin aitaka Kenya kumaliza njaa badala ya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin, amelitaka Taifa la Kenya kumaliza kwanza njaa nchi Kenya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa. Putin amemfananisha Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa kama kijana mdogo anayejaribu kuutikisa mbuyu na kuishia
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu kadhaa wafariki kwa njaa Uganda

    Watu kadhaa wameripotiwa kufariki Dunia Kaskazini Mashariki Nchini Uganda kutokana na kukabiliwa na njaa licha ya kuwa idadi kamili haijatajwa. Zaidi ya watu laki tano katika maeneo ya Karamoja wanakabilikiwa na hali ngumu ya kimaisha ikiwemo njaa. Moja ya sababu kubwa ya njaa ni ukame...
  3. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Njaa ni nini?

    Kwa wale msioijua njaa ikoje Njaa ni kitendo cha kukaa muda mrefu bila kula huku ukiwa hujui utakula nini na ni wakati gani Hiyo ndo inaitwa njaa, Achana na hizi njaa ndogo ndogo
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafariki kwa njaa Ethiopia

    Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UN: Takriban watu 500,000 wakabiliwa na njaa Uganda

    Tafiti za Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa zimebainisha kuwa zaidi ya watu nusu milioni sawa na asilimia 40 ya wakazi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Uganda la Karamoja wanakabiliwa na hatari kubwa ya njaa. Inaelezwa kuwa Mkoa huo umeshuhudia kiwango kikubwa cha utapiamlo hasa kwa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 250,000 wakabiliwa na baa la njaa Somalia

    Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi hiyo inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kushuhudiwa ndani ya miaka 40, uliosababishwa na mvua kutokunyesha kwa misimu 4 huku bei ya chakula katika soko la dunia ikizidi kuwa juu Ripoti za mashirika ya kibinadamu FAO, WFP na UNICEF zinasema kuwa, karibu...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

    Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo. Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati. Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa. Njaa za kushibisha matumbo njaa! Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
  11. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

    Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu. Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha. Haijalishi yupoje. Ukifanikiwa kumuoa mwanamke mwenye njaa Basi tegemea majanga makubwa Sana ndani ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

    FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

    Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu? Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 18 kukabiliwa na baa la njaa ukanda wa Sahel

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka picha za wenye njaa.

    KWA kutumia text description hii weka picha za wenye njaa. "KWA KIPINDI CHA MIAKA SITINI NA USHEE TUMEWAAMINI WAPISHI WENYE NJAA KUTUPIKIA CHAKULA SISI WENYE NJAA MATOKEO YAKE TUMEENDELEA KUWA NA NJAA"
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Waliofunga Ramadhani/Pasaka Kisha wakaanza kufungua zipu walijishinindisha njaa, jehamu ipo pale pale

    Watu wote waliofunga Ramadhani na Pasaka Kisha walipofungua tu wakawekeza kufungua zipu, kulewa, kutenda matendo yasiyompendeza MUNGU naaomba kuwakumbusha kwamba mpijishindisha njaa. Endapo tu mngenyakuiwa mkiwa wenye Fung a mngeweza kwenda Mbinguni. Lakini rehema mliyopewa ya kuwepo hai Hadi...
Back
Top Bottom