njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa RT Acheni kuendekeza Njaa, Kwa Kilimanjaro Marathon - Wilhelm Gidabuday

    Unajua, Kilimanjaro Marathon ni mbio kama ilivyo mbio ingine. RT bado ni baba wa Mbio zote nchini Tanzania. Bahati mbaya sana viongozi wengi wa RT kwa njaa zao wamekua wakiwatukuza sana wandaaji wa Kili Marathon mpaka kujishushia heshima zao. Sas hvi baadhi ya viongozi waliopo Kilimanjaro haswa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi". Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu. Basi ikifika mchana nlikuwa...
  4. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 13 wakabiliwa na njaa Kenya, Somalia na Ethiopia

    Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Mabosi waliopo kwenye Taasisi zenye njaa

    Kuna tabia mbalimbali wanakuwa nazo mabosi (hasa watendaji wakuu) wa taasisi za Serikali kama vile mabaraza, bodi, tume na baadhi ya Wizara . Taasisi hizi nyingi hazijiwezi hata kujiendesha vizuri. Watendaji wakuu/mabosi wa taasisi hizi wengi huwa na tabia zifuatazo; 1. Roho mbaya 2. Kila...
  6. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

    Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu, Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe. Natunguliza shukurani, Thnx.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Kuna watu bila siasa watakufa njaa

    Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa: 1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha 2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono. 3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakabiliwa na njaa Oldonyo Sambu

    Wananchi wa kijiji cha Lemanda,oldonyo sambu wanakabiliwa na Njaa kutokana na Kukosekana kwa mvua muda mrefu na hivyo kupelekea mifugo kufa na wanafunzi kuanguka shuleni kutokana na njaa. Mwenyekiti wa Kijiji hicho Bwana Mosses Nguluma amesema kuwa eneo hilo lipo ukanda wa chini na hivyo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

    Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua. Hawa wazee wana roho za kikatili na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shibe au njaa inawasumbua wanaCCM?

    Lazima niseme ukweli,ukosoaji wa kweli dhidi ya serikali unatoka nje ya wanachama wa CCM. MwanaCCM ukiona anaikosoa serikali ujue njaa inamsumbua yaani kakosa mkate(maslahi) siku akipewa mkate anageuka kabisa na kuwa mtetezi wa chama na serikali. MwanaCCM anayeitetea Serikali na chama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Habari za mida.. Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa. Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo. Hali ya hewa ni...
  14. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Takribani watu milioni 26 wataabika kupata chakula kutokana na ukame

    Takriban watu milioni 26 wanatatizika kupata chakula kufuatia misimu duni ya mvua mfululizo katika Pembe ya Afrika. Hali ya ukame kaskazini mwa Kenya, sehemu kubwa ya Somalia na Kusini mwa Ethiopia inatabiriwa kuendelea hadi angalau katikati ya mwaka ujao, na kuweka maisha ya watu wengi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Afrika inaongozwa na njaa. Hata wapinzani wanatumwa na njaa

    Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu. Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WFP waripoti ongezeko la njaa duniani

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeonya kwamba idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa katika nchi 43, imeongezeka hadi kufikia milioni 45, yaani juu kwa ongezeko la watu milioni tatu mwaka huu huku njaa kali ikiongezeka kote ulimwenguni. Idadi hii imeongezeka kutoka milioni...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

    Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani. Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha hiyo kutoka kwa matajiri hao akisema itatosha kuondoa tatizo la njaa duniani. Musk ana utajiri wa...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania WFP: Mamilioni ya raia wa Afghanistan hatarini kukumbwa na baa la njaa

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Imeelezwa, takriban watu Milioni 22.8 watakumbwa na uhaba wa chakula huku Watoto Milioni 3.2 chini ya miaka mitano...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

    Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu utafifisha kila hatua aliyowahi kupiga kwenye siasa. Tunajifunza kwa waliofanikiwa,naamu tunajifunza...
Back
Top Bottom