Hapa nimeshindwa mwelewa Sheikh. Anamaanisha kweli?

Status
Not open for further replies.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,698
Reaction score
32,275
Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa?
=====

JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu hivyo kutokukamilisha ujumbe uliokusudiwa. Kwa kutumia Google Reverse image search imebainika video kamili ilichapishwa hapa, septemba 08, 2023.

Ndio maana imekatwa

Surah Maryam 19:71-72

“Na hapana yeyote kati yenu ila atafika humo (Motoni); jambo hili ni amri iliyoamuliwa na Mola wako.
Kisha tutawaokoa wale waliokuwa wakimcha Mungu na tutawaacha humo wakiwamo maghali (wenye dhulma) walio ndani yake.”
 
Na aliyoileta nje ya msikiti ameiedit makusudi Ili kuleta taharuki

Surah Maryam 19:71-72

“Na hapana yeyote kati yenu ila atafika humo (Motoni); jambo hili ni amri iliyoamuliwa na Mola wako.
Kisha tutawaokoa wale waliokuwa wakimcha Mungu na tutawaacha humo wakiwamo maghali (wenye dhulma) walio ndani yake.”
 
Sheikh wa wapi huyu 😄🤣😂
Mie maisha yangu yoote sijasoma kitu kama hiki

Surah Maryam 19:71-72

“Na hapana yeyote kati yenu ila atafika humo (Motoni); jambo hili ni amri iliyoamuliwa na Mola wako.
Kisha tutawaokoa wale waliokuwa wakimcha Mungu na tutawaacha humo wakiwamo maghali (wenye dhulma) walio ndani yake.”
 
Hahaaaa ilmu Haina mwisho. Endelea kutafuta maarifa mkuu

Back
Top Bottom