nigeria

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Magaidi waua watu 56 eneo la kati la Nigeria.

    Ni muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko Nigeria katika mkesha wa pasaka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya harusi za Nigeria na Tanzania

    Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana. A: 1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila 2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana 3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa 4. Nigeria 🇳🇬 kwenye Sherehe watu wote wamechangamka , wana furaha na tabasamu. B: 1. Tanzania 🇹🇿 mila ni kwa kiasi kidogo...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

    Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki kikamilifu kwenye harusi hii ya kipekee.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Jux imenifumbua macho, Noti za Nigeria zina thamani Kibunda chetu cha shilingi milioni 5 kule kwao ni shilingi laki 8

    NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema, Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki 5 (₦ 500,000)...
  5. Donatila

    JamiiForums Tanzania JUX na Vee Money mpambano unaendelea

    Habari wakuu, Bwana mi nimewamiss, Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea. JUX kwanini aoe Nigeria? Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga. Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  7. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Wakristu waendelea kuchinjwa huko Nigeria

    Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos. Eneo hili ni lile lile ambalo Wakristu 300 waliuawa na Waislam mwaka 2023...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Tinubu wa Nigeria aelekea Paris, Ufaransa wiki mbili kwaajili ya kutafakari kuhusu uongozi wake

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Nigeria :Aliyefungwa Kwa Kubaka Hana Hatia

    Baada ya kukaa jela kwa miaka minane mwinjilisti kutoka Nigeria anayetuhumiwa kuwabaka wasichana wa kanisa lake la Afrika Kusini amepatikana hana hatia kwa mashtaka yote. Timothy Omotoso alikuwa amekanusha mashtaka 32 katika kesi iliyorushwa moja kwa moja na kufuatiliwa kwa kiasi kikubwa Afrika...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria yakomalia kutumia dola ya Marekani kwa mauzo yake ya mafuta

    Sio kila nchi inaendana na ajenda ya BRICS ya kubadilisha dola ya Marekani na sarafu za ndani kwa mafuta. Kulipa malipo ya mafuta kwa fedha za ndani kunaleta hatari kubwa ambayo inaweza kuathiri hifadhi ya fedha za kigeni za nchi. Manunuzi ya mafuta yamekuwa yakilipwa kihistoria kwa dola ya...
  11. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Requirements For Starting a Business in Nigeria as a Foreigner in 2025

    For foreign investors looking at Nigeria's growing economy, here's what you need to know about company registration in Nigeria in 2025: Key Facts: Processing time: 5-7 working days (faster options available) 100% foreign ownership allowed Minimum capital: ₦100 million (~$62,500) for...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Magaidi wa ISWAP wakishirikiana na Boko Haram, wote wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi ya kijeshi na kufanya maafa kule Nigeria. Hawa ISWAP sikua nawajua, duh yaani mwezi wao mtukufu ndio huwa na ushetani mara kumi......mpinga Kristo katika ubora wake. ========================== Suspected...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duniani kuna mengi: Mwanamke aongea sauti tano tofauti, kwa wakati mmoja!

    Ota, Nigeria – Waumini katika ibada ya Jumapili walishuhudia tukio la kushangaza na lisilo la kawaida kanisani, baada ya mwanamke mmoja kuanza kuongea kwa sauti tano tofauti wakati wa ibada. Mwanamke huyo aliletwa na ndugu zake kanisani hapo baada ya kuonyesha tabia zisizoeleweka kwa muda...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi azungumza na makamu wa rais wa Nigeria

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

    Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda. Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?! Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
Back
Top Bottom