nigeria

  1. Balqior

    Je, Mchungaji Kumuyi wa Nigeria ameanguka kiroho?

    Ni Pastor mkubwa wa kanisa kubwa la kilokole kule Nigeria linaitwa Deeper Life, anasifika kwa kuhuburi injili ya utakatifu na kuishi maisha matakatifu. Mwanzoni kulingana na baadhi ya shuhuda za watu inasemekana yeye ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ila siku hizi mbili tatu nimeona picha zake...
  2. Execute

    Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  3. JanguKamaJangu

    Nigeria: Wafungwa 4,068 walioshindwa kulipa faini waachiwa huru

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 4000 walioshindwa kulipa faini mbalimbali ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano gerezani Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria, Olubunmi Tunji-Ojo amesema jumla ya Wafungwa kabla ya msamaha huo ni 80,804 katika magereza 253. Hivi...
  4. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aliyejiuzulu kwa Rushwa awekwa Rumande

    Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023. Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa...
  5. crankshaft

    Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  6. BARD AI

    Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  7. comte

    Nigeria yashinda rufaa na kuepuka kulipa fidia ya USD 11 billioni katika Kesi ya usuluhishi ya Mkataba wa gesi

    Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
  8. Krikichino

    Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  9. BARD AI

    Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

    Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa. Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
  10. BARD AI

    Serikali ya Nigeria inapanga kupunguza idadi ya Kodi kutoka 62 hadi chini ya 10

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Rais ya Sera, Fedha na Marekebisho ya Kodi, imeeleza kuwa Kodi zilizowekwa katika maeneo mbalimbali zinaongeza mzigo mzito kwa Wananchi, hivyo hatua ya kuzipunguza itarahisisha mfumo wa Kodi na kupunguza maumivu. Kamati imesema imefanya utafiti na kubaini...
  11. sky soldier

    This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  12. ChoiceVariable

    Baada ya Nigeria kukataliwa kujiunga na BRICS+, yatuma maombi kujiunga na G20

    Nigeria ilituma maombi ya Kujiunga BRICS na Kukataliwa Kwa sababu za Kisiasa.Sasa imetuma maombi ya Kujiunga na G20 kundi la Mataifa yenye Uchumi mkubwa Duniani. Je watakubaliwa au watachinjiwa tena baharini? Tusubirie tuone. Mwisho Hivi hizi blocks Huwa na faidia ipi? Kwa mfano uanachama wa...
  13. Chawa wa lumumbashi

    Melkiori Mahinini, Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, aachiwa huru

    Frateri Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, Merikiori Mahinini pamoja na mwenzake raia wa Mali, Padre Paul Sanogo wameachiwa huru usiku wa kuamkia leo Alhamis Agosti 24, 2023, Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amethibitisha. Mtanzania huyo ambaye pia ni frateri wa...
  14. Kijakazi

    Marais wa Nigeria ni conspiracy au inatokea tu?

    Kwanini huwa na sura mbaya sana na wengi hufiti hata ile dhana ya kibaguzi tunaoitwa Waafrika weusi na wasio Waafrika kama kutupiwa ndizi na kadhalika? Na cha kushangaza hawa maraisi wenye huu muonekano wote wamepata urais kwa mbinde na shinikizo sasa je ni conspiracy au inatokea tu wana huo...
  15. I

    Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  16. smarte_r

    Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op. Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
  17. GENTAMYCINE

    Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  18. Alwaz

    Mapinduzi ya Niger yanaweza kumkumba Tinubu wa Nigeria

    Upinzani mkali uliotokea ndani ya maseneti ya Nigeria na miongoni mwa wananchi imetajwa ni sababu kuu zilizopelekea muda uliotolewa kama ukomo wa kurudishwa Rais Bazoum wa Niger madarakani kupita bila kutokea chochote. Raisi Bola Tinubu ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa ECOWAS amelaumiwa kwa...
  19. BARD AI

    Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  20. ChoiceVariable

    Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

    Kijana Mtanzania ametekwa huko Nigeria na watu wenye Silaha. Kijana huyu anayeitwa Melchior ni Mseminary aliyeenda Nigeria kwa ajili ya Mafunzo ya Upadri. Juzi Parokia ya Mt Luka aliyokuwa akiishi ilivamiwa akachukuliwa yeye na Padri Mwingine. ---- Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika a...
Back
Top Bottom