Askofu Benson Bagonza: Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu!

MWAMBIE AACHE KUIBA MAANDIKO YA WENZAKE! ASKOFU FAKE 😬😬😬


Ubarikiwe sana Baba Askofu Bagonza. Wewe ni dokta (PhD) wa ukweli... hakuna wa kufanana nawe kwenye tasnia yote ya kichungaji and beyond!

 

Attachments

  • A8BFE08F-5126-4D0C-8409-BAB01DDD38D5.jpeg
    A8BFE08F-5126-4D0C-8409-BAB01DDD38D5.jpeg
    13.9 KB · Views: 4
Huyu jamaa sio askofu akagombee uenyekiti chadema maana mbowe kashapigwa chake kachokwa hana jipya .
Mbowe kasema anasamehe na kumwachia MUNGU. Huyu yeye anawakumbusha watue kwenye korodani.

Baba askofu shida ni kwamba mbu ataondolewa taratibu atoke kwe korodani, akitoka atakapotua ni paaaaaaa kofi. Mbu ni mbu tu, anatafutwa anauwawa
 
Kwa namna fulani kuna watu wamejua mbinu ya kumpiga mbu aliyetua kwenye korodani bila kujipa maumivu! Awamu hii ina miujiza sana!
 
Back
Top Bottom