Nguvu ya CHADEMA sasa imebaki mikononi mwa Lissu pekee; Siku akihama chama hiki kitameguka vipande vipande

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
 
Na dr silaha saivi veeep? Maana alipambana dah harafu akapigwa cha uwani
 
Wenzenu wanapanga safu ya mashambulizi nyie endeleeni kuchambana.

Muda ukifika muanze kuilaumu tume huru ya uchaguzi.
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
Si kweli mkuu,
Lissu hajawahi kufanya vizuri kwenye siasa za majukwaani hata kidogo.
Ukimlinganisha lissu na mbowe inapokuja siasa za majukwaani unakosea, wala kwa mzee slaa ndio kabisaa!

Halafu zitto msihangaike naye sababu huyo kushakuwa kwenye siasa za udini huko Kwenye chama kipya cha ACTCUF!

ila pia Lissu suala la ushoga lilimuweka pabaya maana tangu ile kauli yake kule USA.

Bado hajakanusha au kutoa kauli ingine kutengua ya awali.

Clip ipo kwenye hansard za YouTube

"Mambo ya faragha"
FB_IMG_1591479815656.jpeg
 
Umemsahau na John Heche, nashindwa kuelewa ni sababu ipi iliyofanya hadi leo asiwe General Secretaty or Deputy GS ndani ya CHADEMA. All in all ni ukweli Tundu Lissu ndiyo turufu pekee ya Urais kwa CHADEMA 2020.
 
Si kweli mkuu,
Lissu hajawahi kufanya vizuri kwenye siasa za majukwaani hata kidogo.
Ukimlinganisha lissu na mbowe inapokuja siasa za majukwaani unakosea, wala kwa mzee slaa ndio kabisaa!

Halafu zitto msihangaike naye sababu huyo kushakuwa kwenye siasa za udini huko Kwenye chama kipya cha ACTCUF!

ila pia Lissu suala la ushoga lilimuweka pabaya maana tangu ile kauli yake kule USA.

Bado hajakanusha au kutoa kauli ingine kutengua ya awali.

Clip ipo kwenye hansard za YouTube

"Mambo ya faragha"View attachment 1484465
Suala la ushoga Lissu alijibu vyema kabisa!
PRIVACY HAKUWA TAYALI KUIONGRLEA!
Huwezi tangaza hadharani kupiga marufuku ya watu PRIVACY ya watu wazima! kinyume na Katiba inayokataza kuingilia faragha
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)

Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!

Tundu lissu ndiye anaeogopwa kuliko hata Chadema yenyewe!

Sauti ya Tundu lissu ndiyo sauti ya matumaini kwa watu wote walioumizwa siasa chafu!

Hivyo Chadema kwasasa mtu pekee anaekibeba chama Ni Tundu lissu!

Miongoni mwa watu waliyoipa nguvu Chadema Enzi za PIPOOOZ POWER ya kweli Ni Tundu lissu, Dr slaa na Zitoo!

Chama Sasa kimekwisha; Aliyebaki na nguvu ndani ya chama ni Mnadhiri wa MunguTundu lissu pekee!

Wengine ndani ya chadema hawana madhara, Ni sawa na Makalio ndani ya chupi, Watabaki kutikisika kwa nyuma tu!
UKWELI lakini Mchungu! Povu RUKSA!
Si kweli, CDM isikie tu! Wewe ndiye hujui kitu, Zito na Slaa wana miaka mingapi wameondoka?
 
Back
Top Bottom