Kama unalazimika kutumia nguvu nyingi kwenye shughuli zako, basi utachelewa sana

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,869
38,488
Hello JF,

Dunia ni ya ajabu sana, muda mwingine mambo yako kinyume. Ni katika kuangalia kwangu nimegundua shughuli ambazo unalazimika kutumia nguvu nyingi basi mapato huwa kidogo.

Unaweza kuwa kweli unafanya kazi kwa bidii lakini bidii kwa jinsi gani? Hakuna watu wanafanya kazi kwa bidii kama wamwaga zege. Wabeba mizigo sokoni, Wale wanaolima kule kwetu kwa jembe la mkono. Lakini wanaokuja kunufaika ni watu wanaotumia akili tu na nguvu kidogo.

Kama vijana dunia ipo ipo kinyume kuna haja ya kujitafakari mahala ulipo je unatumia nguvu zaidi kuliko akili?

Hii mambo ya waliofanikiwa kusema tu siri ni kufanya kazi kwa bidii basi nafikiri haitoshi.

Kuna msemo unasema "jifunze kutumia akili nguvu zina mwisho wake"

Ikumbukwe ufukara yaweza kuwa ni kipimo cha ufinyu wa kufikiri.

Work smarter not harder!
 
Hiyo ndio maana halisi ya maisha baadhi ni lazima wa angamie kwa ajili ya wengine

Fikiria wewe leo kwa kurelax #unapiga punyeto hadi na foma kimasihara kiasi hicho lkn je? kilicho mpata yesu kwa huo upuuzi wetu?
 
Uthubutu ndo kila kitu. Yote hayana manaa pasipo uthubutu wa kuanza kufanya kitu.

Weng tuko theoretical. wafanyao kwa vitendo ni wachache sana na hapo ndo siri yenyew iliyopo.
 
Hiyo ndio maana halisi ya maisha baadhi ni lazima wa angamie kwa ajili ya wengine

Fikiria wewe leo kwa kurelax #unapiga punyeto hadi na foma kimasihara kiasi hicho lkn je? kilicho mpata yesu kwa huo upuuzi wetu?
hahah noma sana ..
 
Mi nalima ekari 3 za umwagiliaji nalima kwa kupalilia na jembe la mkono na vijana wa kaz 3 mdogo mdogo Nina matumaini ya kufanikiwa Mana nalima mwaka mzima pasipo kupumzisha shamba Mana ni umwagiliaji , Vp hapo Mkuu,! Na work smarter au harder ? Ntafanikiwa au?!
 
Aya maisha bhana ni jinsi yatakavyo run na wewe maana kuna wengine wanatumia ngumu zao kupata chochote cha kujilisha wao na familia zao ..wengine ujuzi au maarifa .. wengine ni akili au janja janja so iko hivyo
 
Hakuna alietumia nguvu nyingi,yaan unatumia minguvu yako kutoboa maisha,hutaweza mpk u dead,nguvu zake hela ya kula,akili zake hela ya maisha
 
Back
Top Bottom