nguvu

  1. Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  2. Ushuhuda mpya nguvu ya jina la Yesu

    ushuhuda Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
  3. TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  4. Sikujui wala haunijui ila popote ulipo embrace na kuwakumbatia very passionate tena kwa nguvu wana familia wako.

    Uhai ni zawadi, pumzi ni ya kuazima, ipo siku tuitarudisha. WISH U THE BEST GUYS🕊️🕊️🕊️
  5. M

    GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  6. M

    Tiktok Silaha yenye nguvu

    Tukiikomboa nchi, ni marufuku kufungia aina yoyote ya Media, badala yake tutazitumia kwa maslahi mapana ya Taifa
  7. Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  8. GE2025 Message sent: Ipo siku nguvu ya umma italeta mabadiliko Tanzania

    Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli. Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha. Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
  9. Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  10. Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
  11. Ushuhuda wangu ukutie nguvu katika mapito yako

    USHUHUDA sehemu ya kwanza 01. mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
  12. Nashauri polisi watupe mafunzo ya muda vijana tuongeze nguvu Oktober 29

    Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua Oktober...
  13. K

    Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyozubaa

    Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana. Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
  14. L

    “Roho ya Beijing” yatia nguvu katika kuwawezesha wanawake wa Afrika

    Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake. Miaka 30 iliyopita, Mkutano wa Nne wa Dunia wa Wanawake wa Umoja wa Mataifa pia ulifanyika Beijing, ambapo Azimio...
  15. Wanamtandao pia wanatumia nguvu za giza

    Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!" hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja...
  16. K

    Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
  17. Nguvu ya buku

    Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha fedha. Hata hivyo, hii ilitosha kutuambia nguvu ya buku tunayoijua ni tofauti na nguvu ya buku mtaani...
  18. Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule Mkandamizaji atakua amepata Nguvu kwa 100% kufanya atakalo bila wasi wasi

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
  19. Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  20. GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…