Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!
Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua...
Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume
Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo na kuchukua hatua sahihi.
Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........
Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
Kama wewe ni overthinker basi una akili sana…
Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana…
Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu.
Lakini wewe?
Akili yako inaenda mbali zaidi.
Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini:
https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
salaam,
Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini
https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋.
🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
1. Referee sijajua ana tatizo gani na Senegal. Wakiangushwa ni kama haoni kabisa anasonga mbele tu.au anataka mpaka mtu avunjwe shingo ndo iwe foul?
2. Senegal nanyi mpira ni pamoja na akili siyo nguvu tu. Tulieni muwafunge wafaransa hao.
Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza.
Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu...
Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza.
Pili, imani kuwa...
👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono.
👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
Waheshimiwa wangu tunaona mapambano yenu mkiwa huko mliko yaani CCM na ACT vyama rafiki hivi kabla ya October 29
Niwaombe jambo Moja hebu njooni unganeni na Heche Kisha tupambane Lissu atoke Wallah kazi itakuwa kwishiney kina Muliro watachoka njooni tuliokoe taifa kwenye mikono ya...
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani.
Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume:
Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la...
Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani?
-Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa
-Lakini kuna wengine wanafanikiwa ni kwasababu ya ibada na mungu yupo katika kila jambo lao
-Pia kuna wanaofanikiwa...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia.
Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, hayo ndio yalikuwa maneno ya Polepole kwa Mtawala kuwa akijiweka madarakani kwa njia zusizo za kudemokrasi, ajiandae kutawala kwa shida.
Kwa saaa, ukisikiliza mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ukisoma post na comments za watu mitandaoni kuhusu huu utawala na...
Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani.
Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.