nguvu

  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  2. appoh

    JamiiForums Tanzania Nguvu vs akili

    Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa. Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini mashambulizi mengi ni Iran pia ni kama anajipiga mwenyewe hivi yaani anaua mbu kwa nyundo kubwa kidoleni...
  3. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Lissu ana nguvu ya kiroho nyuma yake isiyo ya kawaida

    NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA. 1) Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba. 2) Kupenda kuona masikini na wanyonge wanasaidiwa kupata HAKI zao,nimepata shuhuda za watu aliowasaidia msaada wa...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia

    Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi. Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya maombi ya usiku wa manane

    cc  D2 C2 B2 A2 🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥 Beloved, There is something about midnight. It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway. It is the crossing between yesterday and tomorrow. It is the hour when destinies shift quietly...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani walalamikia serikali matumizi ya nguvu kupita kiasi kuvuruga mikutano yao

    Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania

    Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi mbalimbali hii ilitokana na ukweli kwamba watu kwa ujumla wao wanapenda mtu ambaye ni wa watu mcheshi...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

    Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau.. Sababu ya pili...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Icc msitumie nguvu kumkamata huyu kiongozi maana ni mzee. Mtumie busara na atii bila shuruti. Yasiwepo makabiliano kama Venezuela

    Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu. Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine. Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

    Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua. Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli. Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
  13. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Dola inapoteza nguvu na tutashindwa simamia vikwazo ndani ya miaka mitano-Rubio

    Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  17. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    Natoa pole na pongezi kwa yeyote mwenye kutafuta riziki yake, mchezo sio mdogo🙌🏾, Mungu MKUU na atutangulie!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
Back
Top Bottom