Siri ya waliofanikiwa ni sababu ya nguvu zitokanazo na walionyuma yao

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
477
Reaction score
973
Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani?

-Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa
-Lakini kuna wengine wanafanikiwa ni kwasababu ya ibada na mungu yupo katika kila jambo lao
-Pia kuna wanaofanikiwa kwasababu wana baraka nzuri za wenza wao yani Mume/mke
-Vile vile wapo wanaofanikiwa sababu ya waganga wao

Na ndio mana kuna watu ghafla mafanikio yao huanguka sababu ya kukosa baraka za walio nyuma yao.
Hivyo chungeni sana na kuziheshimisha baraka ambazo mnapewa katika mafanikio yenu.
 
Wewe umefanikiwa ? Au unawaelezea walio fanikiwa tu?
 
uko sahihi gentleman 🐒
 
Kufanikiwa kivipi? Jazia nyama kidogo.

Maana mwingine kula milo mitatu mi mafanikio, mwingine kuishi mikocheni ni mafanikio, mwingine kumiliki vitz ni mafanikio.
 
Sijui exactly tafsiri yako ya mafanikio Lakini kama unazungumzia ule ukwasi uliopitiliza hapo lazima uwe vizuri kiroho.
 
Back
Top Bottom