Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 478
- 975
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani.Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume:
- Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la kwanza.
- Kumaliza haraka (kukojoa kwa haraka).
- Uume kulegea wakati wa tendo la ndoa.
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa kabisa.
- Kutoweza kusimamisha uume kabisa.
- Kutokuwa na uwezo wa kutia mimba.
- Kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu za kiume kwa kiwango kinachotarajiwa.
- Kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu za kiume kwa nguvu ya kutosha.
- Kushindwa kufanya vizuri kwa baadhi ya wanawake na kufanya vizuri kwa wengine.
- Kutamani kupiga punyeto na kukosa hamu ya kufanya mapenzi na wanawake.
- Kukosa hamu ya wanawake na kutamani kufanya ngono na wanaume pekee.