Ukraine sasa inasema kuwa: "Hakuna nchi iliyotusaidia kiasi cha kutosha".

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya kutosha". Yaani zaidi ya dola bilioni 100 alizotoa marekani kwa maana ya dhana za kivita na pesa taslimu bado haijasaidia vya kutosha!! Swali: Je kama inaona haijasaidiwa vya kutosha je kuna nchi inaweza kuisaidia vya kutosha hata ikaridhika??

No one doing ‘enough’ for Ukraine, foreign minister says​

Arming Kiev’s troops against Russia will restore “peace and security” in Europe, the country’s top diplomat says
No one doing ‘enough’ for Ukraine, foreign minister says

Dmitry Kuleba. © Getty Images / Lev Radin / Pacific Press / LightRocket
Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba has urged Kiev’s “partners” to continue funneling military aid into the country, claiming that “no one has done enough” to help the nation yet.
“Ukraine is grateful to partners for their military aid, but we should remain honest with one another: No one has done enough as long as Russian boots remain on Ukrainian ground.
 
Russia captured east Ukraine village near Bakhmut: Separatists​

Russian-backed separatist forces in the eastern Donetsk region of Ukraine say they have seized a village near the key city of Bakhmut that Moscow has been trying to capture for months.
The village of Bakhmutske, northeast of Bakhmut city, in “the territory of the Donetsk People’s Republic was liberated by the Armed Forces of the Russian Federation”, read a statement from separatist authorities on Telegram. AFP could not independently verify the claims.
The village is just outside the city of Soledar, the scene of heavy fighting like Bakhmut.
 
Kuna watu wako blinded na westerners na kusikiliza media zao na kumeza their lies .Lakin ukweli ni kwamba Ukraine ni swala la muda ika surrender, haiwezi kuwa na constant supply of soldiers maana wanakufa kama nzi, msada wa vifaa na trainers haitoshi. Time will tell ,Ukraine will collapse soon
 
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya kutosha". Yaani zaidi ya dola bilioni 100 alizotoa marekani kwa maana ya dhana za kivita na pesa taslimu bado haijasaidia vya kutosha!! Swali: Je kama inaona haijasaidiwa vya kutosha je kuna nchi inaweza kuisaidia vya kutosha hata ikaridhika??

No one doing ‘enough’ for Ukraine, foreign minister says​

Arming Kiev’s troops against Russia will restore “peace and security” in Europe, the country’s top diplomat says
No one doing ‘enough’ for Ukraine, foreign minister says

Dmitry Kuleba. © Getty Images / Lev Radin / Pacific Press / LightRocket
Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba has urged Kiev’s “partners” to continue funneling military aid into the country, claiming that “no one has done enough” to help the nation yet.
“Ukraine is grateful to partners for their military aid, but we should remain honest with one another: No one has done enough as long as Russian boots remain on Ukrainian ground.
Naunga mkonyo, sorry mkono kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine.
 
Cha kupewa hua hakitoshi
 
Hawa si wana tembeza mkong’oto kwa majeshi ya urusi?

Sasa msaada wa nini?
Tena mpka Putin kachanganyikiwa siku ya pili kapiga mabomu Kyiv bure bure kuangusha majengo ata hakuna mtu ndani
 
Bakhmut yote ni swala la muda tu utakuwa kwenye mikono salama ya taifa teule la Urusi
Hili eneo ni la kimkakati likitwaliwa Vita itakuwa ngumu kwa Nato + Ulaya + USA, MAANA NDIO WAKO VITANI. WEWE DOLA BILIONO 10O NI BUDGET YA MATAIFA MANGAPI YA AFRICA?
 
Back
Top Bottom