nguvu

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kwanini Nguvu kubwa inatumika kuonesha Rais Samia hafanyi vibaya?

    Siku zote kazi nzuri inajitangaza, Hayati JPM hayupo lakini kila siku anatangazwa, anatangazwa kwa sababu ya kazi zake ambazo ni alama. Huwezi mdanganya hata Mtanzania wa chini kabisa kumuhusu JPM. Kwanini kwa Rais Samia inatumika nguvu kubwa sana kumtangaza ili aaminiwe?
  2. LorenzoA

    JamiiForums Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

    Habari, Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu. Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana. 1. H.E Samia Hassan 2. Jakaya Kikwete 3. Abrahaman Kinana 4. Hussein Mwinyi 5. January Makamba 6. Freeman Mbowe...
  3. Gulio Tanzania

    JamiiForums Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  4. airmax

    JamiiForums Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  5. B

    JamiiForums Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Mbunge Dkt. Ritta Kabati ayapa nguvu mashindano ya soka ya UVCCM Iringa, aahidi kuanzisha "Mama Samia Cup"

    MBUNGE DKT. RITTA KABATI AYAPA NGUVU MASHINDANO YA SOKA YA UVCCM IRINGA, AAHIDI KUANZISHA "MAMA SAMIA CUP" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kuanzisha mashindano yatakayojulikana kwa jina la Samia Cup kuenzi kazi nzuri zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya...
  7. BARD AI

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Jeshi la Polisi Kenya lashutumiwa kutumia nguvu kubwa kudhibiti Waandamanaji

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji. Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  10. S

    JamiiForums Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

  11. MK254

    JamiiForums Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

    Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
  12. J

    JamiiForums Kamati ya miundombinu yahimiza nguvu zaidi taasisi ya teknolojia ya ujenzi - ICoT

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), kwa kuitengea fedha za kutosha ili iweze kujiendeleza kwa kuwa na...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Nguvu kubwa inatumika dhidi ya Hayati Magufuli au inatumika kumtetea Hayati Magufuli?

    Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia yetu kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kimahusiano ya kimataifa. Kumeibuka makundi mawili...
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  15. Equation x

    JamiiForums Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

    Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu. Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile. Baada ya kufikia mshindo, atachukua...
  16. R

    JamiiForums Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
  17. M

    JamiiForums Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  18. LorenzoA

    JamiiForums Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

    Wakuu salam, Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa. Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani. Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Umoja ni nguvu

    Kuna usemi usemao "umoja ni nguvu utengano ni udhaifu" pia ipo moja ya nadharia imetokana na sayansi ya siasa "consequalism" inayoelezea ni jinsi gani utaweza kujua jambo au maamuzi unayoyachukua ni sahihi kwa kutumia kuangalia muitikio wa maamuzi kwa walengwa ikiwa idadi ya wanaokubali maamuzi...
  20. M

    JamiiForums Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
Back
Top Bottom