CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Tulia kidogo,ukila CDM,ukinawa CDM,ukilala CDM,ukiamka CDM pumzika kidogo Bwana mdogo.
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Niliambiwa eti wewe siku hizi no mganga wa kienyeji kumbe kweli! Makubwa subiri uone Kwanza ndo uongee usije aibika bure.
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Wewe unakosea chawa wenzio hawajistukiagi hivyo ... Maana hiyo staili ndio unazidi kuwaongezea milage CDM na kuonyesha jinsi gani Mambuzi unamcehecheto na ni jinsi gani mnahofia mikutano maana mnajua ndio kifo chenu

Hakiyamungu Mambuzi ni Mambuzi tu utayajua tu yanavyochechetuka yakifinguliwa mlango wa Banda ... Ndio isharuhisiwa tena mmekwisha
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Nimekuona kwenye uzinduzi wa Chawa wa mama , ukiwa pembeni ya Steve Nyerere , hongereni sana kwa uzinduzi
 
Back
Top Bottom