Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,083
8,425
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za kufanya mambo

Nawale mapepo zake ambao wapo wenye nguvu hata kumzidi sasa hapo utawala unakuwaje?

Baasi huko tumefikiria mbali hata simba au tembo tunaowatawala wanatuua sometimes, why isiwe kama mfalme akutanapo na anayemtawala iwe anamjua hamjui lazima anyenyekeee chini.
 
Simba mwenyewe anamuogopa binadam ndo maana haji kuishi kwenye makazi ya watu, ila ukitaka kujua binadam ni kisanga watu waruhusiwe had kuishi kwenye hifadhi za wanyama kesho tu utaona watu wamejaa na wanyama watatoka nduki
 
Mkuu kuna kitu kimoja haukijui na wengi hatukijui...

Maisha tunayoishi yanatuondolea nguvu alizotupa Yesu Kristo, pia wengi wetu hatujui uwezo uliopo ndani yetu.

kwenye Mathayo 17 20-21 kuna sehemu anasema tukiwa na imani kama punje ya haradali tunaweza kuhamisha milima

Binadamu tunanguvu sana tena sana dhidi ya shetani, mawakala wa shetani na hata wanyama wakali. Sema tunakosa kitu kidogo tu Imani

Ndio maana ukiona kitu cha kutiaha unakosa imani unakimbia, au ukimuona Simba unakimbia, lakini tunanguvu ndani yetu ambayo inaweza kumzuia Simba asifanye chochote ....

Ni ngumu sana kuweka nguvu hiyo pamoja na kuitumia...mbona wachawi wanadawa za kutumia zikafanya wasidhurike na wanyama wakali mfano huyo Simba Je jina la Yesu na imani juu yake hauwezi kumkimbiza Simba?
 
Sikweli hapana
 
Kwaiyo mkuu ni kwamba we Must use name ili kutawala?
 
Nina shuhuda fulani, ni vile tu watu huwa wanahisi hao Simba ni hatari mbele za Mungu

Pia tusipende kuona vingi, kuna vitu Mungu anatuepusha navyo bila sisi kuona ni vya hatari na kutisha.
Hakika
 
Nina shuhuda fulani, ni vile tu watu huwa wanahisi hao Simba ni hatari mbele za Mungu

Pia tusipende kuona vingi, kuna vitu Mungu anatuepusha navyo bila sisi kuona ni vya hatari na kutisha.
Mkuu weka ushuhuda maana ndipo pa kujifunza zaidi
 
Je kuna watu nyakati hizi ni wasafi bila uwovu hata mmoja
mkuu wapo, maana hatuwezi jihesabia haki, lakini kuna watu wanaishi katika utakatifu ni ngumu lakini wapo....na kingine ni kuishi katika toba maana ndiko kunapopatikana chemchem za uzima...

"Ee Mungu, unihurumie, mimi ni mwenye dhambi" ulifanya farisayo apatane na Mungu. Kujinyenyekeza ni muhimu sasa kwenda kwenye Simba ni kujikweza, ambako kupo tofauti na maagizo ya Mungu....lakini endapo Simba akaja kwenye makazi yako Mungu anaweza fanya muujiza na ukaokoka.
 
Huyo mbona wote tumempania mkuu
😊
kutumia na kuliishi mkuu.... binadamu hivi tunanguvu sana ndani yetu...sema Imani ndogo sana au hamna kabisa.
Kwaiyo manataka kusema we have power ya kufanya miujiza ila hatuna Imani
Mfano unapewa gari alafu unaambiwa chongesha funguo ambapo hakuna fundi ila ni yeytu aliyekupa gari

Duniani tunazaliwa tukiwa tunaona watu wakiishi bila nguvu zozote na ndipo tubapo jifunzia hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom