Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe.

Tundu Lissu kwa mara ya kwanza amehutubia mkutano kwa zaidi ya masaa mawili bila kumponda Hayati Magufuli!

Watu wanajiuliza kulikoni?
 
Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.
Soma kitabu cha Mhubiri 9:5-6
Ezekiel 18: 20-21

Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa

Lakini ninkubaliana na wewe kwenye hukumu ya mwisho kama maandiko yasemavyo hapo chini

Ufunuo 20:13 SRUV​

Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
 
Hilo Chadema woote wameliekewa!

Na hata walamba asali wa Msoga na Doctor Janaba wao,wanalijua hilo!

Hata Lissu alipoteleza na kuanza kumponda Magufuli pale Temeke, alipewa ki-memo Chap!

Ndio akarekebisha kwa kusema...namnukuu...'turudi kwenye hoja ya leo,haya mengine yalikuwa ni amsha amsha tu...Tundu Lissu"

Mwisho wa kunukuu!
 
Sindano zinawaingia sana
 
Mpaka muda huu sijamuona yeyote aliyejaribu kujibu hoja za Lissu
 
Mpaka muda huu sijamuona yeyote aliyejaribu kujibu hoja za Lissu
Hoja za Lissu ambazo wewe ulizielewa kwa uhalisia ni zipi?

Ebu wewe kama wewe tuwekee hapa,kama ulizielewa!

Lissu hakutoa hoja zaidi ya kulia kilio tunacho lia wote humu!

Mfumko wa bei,sio hoja ya lLissu,ni hoja ya wananchi!

Lissu amefanya Lobbying!

Sisi kila siku tunaandika humu,halafu mnaishia kutuambia ni Sukuma Gang tuna wivu na Samia!

Leo kasema Lissu,imegeuka hoja yake?

Kama ni katiba mpya...nayo siyo hoja bali ni takwa la k8sheria,ambalo majibu yake yako ngazi ya watawala.

Funguka ubongo acha uzwazwa!
 
Back
Top Bottom