nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. JamiiForums Tanzania Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

    Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili. ===== Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years. Updated: May 12, 2024 09:36 AM EST Richard “Rick” Slayman, the first person who received a...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya nguruwe

    Nahitaji mbegu bora ya nguruwe morogoro
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo, Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama...
  4. JamiiForums Tanzania Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

    Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari. Je huyu ni mbuzi kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

    Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika. Kitendo cha Senzo kukutana na timu ya south Africa kabla ya mechi ya Simba kilichukuliwa kwa hisia tofauti, wakati washabiki wa...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mabanda ya Ufugaji Nguruwe Ya Kukodisha Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

    Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, inaruhusiwa kuwekeza kwenye biashara ya kufuga nguruwe?

    Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini. Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Neno "kimoja cha nguruwe" lafanya kipindi cha Kipenga Extra East Africa Tv kifutwe mchana huu

    Wakuu habari za mchana? Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United. Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  12. JamiiForums Tanzania Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

    Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wakristo wanaokula nguruwe wanaruhusiwa kuwachangia damu waislamu

    Nilikuwa nawaza tu hapa,
  15. JamiiForums Tanzania Mapropaganda wa Urusi wakutana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao

    Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe......... Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

    Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo. Neno hilo hutumiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Figo ya nguruwe yaonesha ufanisi katika mwili wa Binadamu

    Figo ya nguruwe ambayo ilipandikizwa katika mwili wa Binadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja, imefanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni hatua ambayo Madaktari wa upasuaji wana matumaini makubwa kwamba siku moja wataweza kutumia aina hii ya upasuaji kuokoa maisha ya Binadamu ambao ni Wagonjwa. Upasuaji huo...
  19. JamiiForums Tanzania Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata nguruwe wa nyama kwa Dar?

    Habari ndugu zangu Nataka kuanza biashara ya kuchinja nyama ya nguruwe na kuuza kwa bei ya jumla nyama mbichi Wapi nitapata nguruwe kwa Dar au Pwani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…