Unapajua aggrey na nyamwezi pale kwenye jengo la Dubai?Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
Dubai wanauza abaya na mabaibui. Ule mtaa wote una nguo za watoto pale. Ukikosa njoo huu mtaa wa muhonda na Congo/mafiaNdioo napajuaaa kaka