ngozi

Chimamanda Ngozi Adichie ( (listen); born 15 September 1977) is a Nigerian writer whose works range from novels to short stories to nonfiction. She was described in The Times Literary Supplement as "the most prominent" of a "procession of critically acclaimed young anglophone authors [who] is succeeding in attracting a new generation of readers to African literature".Adichie has written the novels Purple Hibiscus (2003), Half of a Yellow Sun (2006), and Americanah (2013), the short story collection The Thing Around Your Neck (2009), and the book-length essay We Should All Be Feminists (2014). Her most recent book, Dear Ijeawele, or A Feminist Manifesto in Fifteen Suggestions, was published in March 2017. In 2008, she was awarded a MacArthur Genius Grant.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Manii huboresha ngozi za wanawake

    Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe ni mzuri. Wakati ule 'ninaimba jua lile literemke mama' pale shule ya msingi miaka kadha iliyopita...
  2. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

    Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku...
  3. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Usimwamini kwa ngozi yake tu, utaumia

    Mbele ya kamera barakoa sana kwa ajili yetu. Nje ya kamera hakuna barakoa kwa ajili ya afya yake. Hata social distancing hakuna! Read between the lines.
  4. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ngozi mguuni

    Hi doctors! for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba. Sijajua hi hali inasababishwa na nini. pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu huuma. Msaada please. Wenu. At Calvary Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Chimamanda Ngozi Adichie Mwandishi nguli Afrika

    Chimamanda Ngozi Adichie was born in Enugu, Nigeria in 1977. She grew up on the campus of the University of Nigeria, Nsukka, where her father was a Professor and her mother was the first female Registrar. She studied medicine for a year at Nsukka and then left for the US at the age of 19 to...
  6. DULAIKI COMPANY

    JamiiForums Tanzania Karibu ofisini kwetu upate buti original za ngozi

    Piga 0762967368(WhatsApp)0655325457 kununua Tsh. 55000/=
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ubunifu zaidi unahitajika katika bidhaa zetu za ngozi

    Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa zinadumu kwa muda mrefu. Kasoro kubwa ilikua kwenye kumalizia, hadhi ya zipu hailingani na ubora ya...
  8. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna dawa/kinga maalum ya kudhibiti upupu au vitu vingine viwashavyo kwenye ngozi?

    Habari ndugu wanajukwaa, Nauliza ukiachilia mbali kuvumilia mpaka muda fulani vipoe na usiwashwe au kupaka mchanga majivu na mbinu nyingine za kawaida je, kuna dawa ya vitu vinavyowasha kwa mfano upupu?
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ngozi ya kutengeneza Makochi ( first CLASS)

    Kijana wangu amepata order ya makochi ya Leather Inaweza kuwa ile NGOZI ya kutengeneza ( Artificial) ila first class Inapatikana wapi kwa Arusha au Dar? bei kwa meter?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
  11. Kaporand

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kukakamaa

    Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
  12. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Ipi tiba ya tatizo sugu la M'BA kwenye ngozi?

    Wanajamii poleni na msiba wa taifa... Kama mada inavyojieleza, ni ipo tiba ya m'ba kwenye ngozi, mimi nasumbuliwa na m'ba mara kwa mara. Yaani ni kama nina allerg ya ngozi, nikitumia dawa za kupaka wanaisha baada ya mida wanarudi tena. Nimegundua hili tatizo lipo ndani ya mwili inahitajika...
  13. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Mnamkumbuka kwenye stori ya Khumbu niliwaambia nikiwa Durban kuna wasichana takribani 5 nilijihusisha nao ukiachilia Khumbu? Sasa kulikuwa na kasichana kamoja english figure, kilikuwa na ngozi nzuri balaa. Ukikavua nguo huchoki kukaangalia. Kalikuwa na mvuto wa ajabu. Kalikuwa na ngozi kama...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kushirikiana taulo ni chanzo kikubwa cha maambukizi ya magonjwa ya ngozi

    Unakuta mtu anamtembelea rafiki yake, akitoka kuoga anakuta taulo kwenye kamba analichukua na kutumia, utamsiki “huyu wangu sana “. Watoto wakiwa boarding school, taulo linaweza kula vichwa vitatu bafuni. Hata hizi hotelini kama unaweza safiri na taulo lako. Fikiria hoteli haina mashine ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nigeria's Ngozi Okonjo-Iweala appointed WTO Director-General

    Hon Dr Ngozi Okonjo- Iweala from Nigeria is appointed as the next WTO Director General. Dr Okonjo Iweala makes history as the first woman and the first African to lead the WTO. Her term stars on the 1 /03/2021. ====== Nigeria’s Ngozi Okonjo-Iweala was appointed the seventh...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Roho ya kimasikini inatutesa sana ngozi nyeusi, kwanini?

    Roho yakimasikini ni nini? Roho yakimasikini niroho ambayo haipendi hau haifurahi pindi mtu akifanikiwa au akiwa na kitu yeye hana. Roho ya umasikini umuhaminisha mtu kuwa bila yeye hakuna kitakacho endelea na yeye ndio yeye hakuna wa haina yake. Mawazo haya finyu na yakimasikini humfanya mtu...
  17. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mawazo ya wazungu au ngozi nyeupe wanapenda anal sex yametoka wapi?

    Mara nyngi naona humu watu wana mawazo km haya, tena sio humu tu karbia watu wngi weusi wana mawazo haya hasa watanzania ati wazungu wanapenda sana anal sex. Wanamini km msichana akiwa na relationship na mzungu au ngozi nyeupe lazma atakua anafanya anal. Wanachukulia kama vile hakuna ngozi...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngozi yako haina mvuto?Mambo 5 ya kufanya uwe na ngozi nyororo nila kutumia vipodozi

    Cha kwanza niwafahamisheni kuwa , kuanzie leo ondoa mawazo yako kuwa ili uwe na ngozi yenye afya ni lazima uwe na vipodozi vingi.Bali baadhi ya vipdozi havipendani na vingine, ukazidi haribu ngozi yako. Leo nakupa mambo 5 ya kuzingatia, hata ukitumia mafuta aina moja tu, utakuwa na ngozi...
  19. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion...
  20. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAWACHA Kawe wako tayari kulinda heshima ya Jimbo lao

    Wanawake wa Kawe wameapa kulinda heshima ya Kawe kwa kutoruhusu hilo jimbo kuangukia mikononi mwa tapeli wa kimataifa aliyejivika ngozi ya udini. Wamemhakikishia Mwenyekiti wao wa Taifa, Mhe. Halima Mdee, kuwa kura zote za wakazi wa Kawe ni zake.
Back
Top Bottom