news

  1. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

    Wadau hamjamboni nyote. Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

    Hii ni safi sana. Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala. Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia. https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  4. Msolo

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri na bure kwa Michezo, Movies, News

    Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu. Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone...
  5. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal & Other Jobs Board Assessment.

    Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I have observed patterns and frequency of job vacancies kulingana na mikoa. He is what I found out ...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS: Failed Soviet spacecraft finally crashes into the Indian Ocean

    A Soviet-era spacecraft has finally returned to Earth – 53 years after it was launched. Kosmos 482, a Venus lander launched by the Soviet Union in 1972, reentered Earth’s atmosphere on May 10, 2025, crashing into the Indian Ocean west of Jakarta, Indonesia. Originally intended to study Venus...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Current News

  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  9. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Simba haijawahi kutwaa kombe la NBC wala CRDB tangu yaanzishwe

    Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa kombe mojawapo ukoje 😀 Mara zote makombe haya yameenda kwa wazee wa kutandaza soka safi na mabingwa wa...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Non threads various news Alert

    The United States has reportedly sold 1,000 “immigration gold cards” — special visas offering residency for $5 million each — generating $5 billion in just one week. According to official Howard Lutnick, the money will go toward reducing the $36.2 trillion national debt. A platform is also being...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi zikikoma huwa breaking news

    Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua.. Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kudownload kitabu chake last week leo nakutana na news amejiua. Nakichoma moto kitabu chake sikisomi.

    That's why the book was moving very slowly. Nilisha soma kama page 10 za kitabu chake. Mwanasaikolojia anae heshimika kama huyu anajiua? What pushed him that low? Moral of the story: Tuache kutukuza mawazo ya watu wengine. Instead tutukuze mawazo yetu wenyewe. Kwa mfano kitabu " 48 laws of...
  14. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  15. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Dr. Slaa ana siku ya pili akiwa kwenye mgomo wa kula kushinikiza kupata rufaa yake

    Shalom wana Jamii Forum. Habari zilizonifikia hivi punde kwa njia ya simu kutoka kwa familia ya Dk. Wilbroad Peter Slaa ni kwamba Dk. Slaa ana siku ya pili ya mgomo wa kula huko gerezani na ameanza kudhoofu sana. Anatumia njia hii kama hatua ya kushinikiza sheria dhidi yake ichukue mkondo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

    Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa. Kwa mujibu wa raia waliopo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ndo naelewa maana ya fake news.

    Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na kuwaaminisha watu kuwa ni habari ya uongo wakati ina ukweli. Mfano hii ya wanafunzi mkoa wa Ruvuma kukaa...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
Back
Top Bottom