Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,305
Wadau hamjamboni nyote.

Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa ulisikika karibu na Hamedan," zaidi ya kilomita 300 (maili 186) kutoka mji mkuu Tehran, shirika la habari la serikali ya IRNA linasema, na kuongeza kuwa "ulisikika karibu na uwanja wa ndege wa Nojeh."

Loud blast heard near airbase in west Iran — state media

A loud blast was heard moments ago near a military airbase in Iran’s western Hamedan province, state media reports, following a major Israeli attack on the country.

“A few hours ago, a loud blast was heard near Hamedan,” more than 300 kilometers (186 miles) from the capital Tehran, the IRNA state news agency says, adding that “it was heard near the Nojeh airbase.”
 
Screenshot_20250613-164607.jpg
hezbuballah wamelianzisha tena
 
Iran hawezi kuruhusiwa awe na nuclear, wanajua akiipata utakuwa mwisho wa Israel
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wai edit waongeze jina lake
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
 
Iran inasakamwa na wengi,kuna kolabo na nato na USA, israel anapewa tu intelijensia na kuelekezwa jinsi ya kushambulia
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Amka toka kwenye hiyo ndoto
 
Nimepita tweeter kwenye page za wachambuzi wa vita ambao hawako biased wengi wanasema Iran Iko tupu Sana na hawata Fanya kitu Cha maana chochote, wengi ni kama wanaionea huruma tu, wakisisitisha uwezekano wa serikali kupinduliwa baada ya wapinzani kuona ukweli kua nguvu za kijeshi za Iran zimekua propaganda!!! Mtu hawezi tu kuanza kukupiga bila kukuchunguza kwanza, unless ni Hamas(maana Hawa akili hua Hawana)))

Anyway ngoja tutaona mkuu itakavyokua
 
Wachambuzi wa vita pro-israel siyo!!
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Iran sio nchi ya kitoto wewe unasema haya kwa sababu upo huko buza kwa mpalange kwa mama samia tu unakula ugali wa bure na kujamba hovyo tu.
 
Back
Top Bottom