news

  1. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa avunja ukimya na kunena mazito sana

    . Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika “Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Umetufundisha – TUMEKOMAA! Tumelinda heshima yako kwa wanaMonduli. Na tunaendelea kuheshimu Mamlaka na kuishi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga Mjini, Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal August, 2025

    The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job seekers and stakeholders. Job Vacancies Announcements The Ajira Portal is a centralized platform designed and managed by the Public Service Recruitment...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asema Magaidi wa Hamas wamegoma kusaini makubaliano ya kuacha mapigano na Israel hivyo aagiza viongozi wake kusakwa

    Trump: Hamas didn’t want to make a ceasefire deal, its leaders will be ‘hunted down’ US President Donald Trump declared Friday that Hamas isn’t interested in reaching a hostage deal and signaled backing for Israel advancing its military operations against the terror group. “Hamas didn’t really...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

    I will be short Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️ Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion. Kibongo bongo Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa === Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu Katikati ya mafanikio yake ya soka...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC Swahili news Stella Agara juu ya Ruto

    Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine zimeshindika kupitia Bunge na Senate, mpaka kazungumzia Mungu kuingilia kati. Na kwamba fujo zina...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  10. U

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini )

    Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama warithi watarajiwa akiwa amejificha kwenye chumba cha kulala. chini ya ardhi huku akikabiliwa na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania News Alerts Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours

    Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Thursday, June 19, 2025 Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours, says official By Lazar Berman Follow Today, 7:10 pm 2 Israel still expects that US President Donald Trump will join the strikes against...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Trump ameidhinisha mpango ya kuishambulia Iran

    Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia wafanyakazi kwamba ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, lakini...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Shekeli ya Israel yapanda thamani huku wawekezaji wakitathmini hali ya baada ya mzozo na Iran

    Shekeli ya Israel imepanda kwa kasi leo, huku soko la hisa na hati fungani likionyesha ongezeko, wakati wawekezaji wakianza kutathmini mazingira mapya ya hatari ya muda mrefu kwa mali za Israel baada ya mzozo na Iran kuingia hatua mpya. Ifikapo saa 19:42 kwa saa za Afrika Mashariki (GMT+3)...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

    Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Trump Mzee wa Distraction: Alisambaza Fake News kwamba Biden ni Clone (Biden wa kweli alikufa 2020)

    Wanakati huku zinakuja News kwamba fortune (Utajiri wa Trump) umeongezeka mara mbili ndani ya mwaka na kwamba alikuwa rafiki wa karibu na molester wa vibinti vidogo Jeffrey Edward Epstein ; Trump akaamua kupost kwenye Platform yake kwamba Biden huyu aliyepo ni Clone... Kweli dunia ya sasa the...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel

    Wadau hamjamboni u. 6 minutes ago Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12 Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in southern Israel targeted by an Iranian missile attack. pic.twitter.com/G4v0MLy8W4 — Iran...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Ndege za kivita za Israel hivi karibu zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu

    saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu za kuanzishwa kwa makasisi wa Iran, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumamosi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Shughuli kali za ulinzi wa anga zaripotiwa karibu na makazi ya Kiongozi Mkuu Khamenei

    Ripoti kutoka vyombo vya habari vya Iran zinaeleza kuwa kumekuwa na shughuli kali za ulinzi wa anga karibu na Uwanja wa Pasteur jijini Tehran, eneo ambalo liko karibu na makazi rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, pamoja na ofisi ya rais. Shirika la habari la Tasnim...
Back
Top Bottom