news

  1. Streetot

    JamiiForums Tanzania Why Harvesters International Christian Centre, Ologolo Is Trending

    LAGOS — The Ologolo branch of Harvesters International Christian Centre has surged into the spotlight as online conversations intensify around its lead pastor, Bolaji Idowu, following a series of viral moments after multiple church services. Clips circulating across Facebook and X show the...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume Sasa ni ‘Stay-at-Home Sons’ Girlfriends Wanalipa Bills

    Are roles reversing or are men just adapting? Siku hizi unapata mwanaume ako nyumba, anasema “I’m planning,” while mwanamke ndio anachapa kazi, analipa rent, na bado anapika. Swali ni — hii ni empowerment ya wanawake ama wanaume wameamua kulegea? Wengine wanasema economy imebadilika...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Pakistan yatangaza siku 2 za mapumziko kwa ajili ya mazungumzo ya kumalizika vita kati ya Marekani na Iran

    Mamlaka zimetangaza likizo ya ndani katika miji ya Rawalpindi na Islamabad kwa tarehe 9 na 10 Aprili, na kuagiza kufungwa kwa shule zote pamoja na ofisi katika kipindi hicho cha siku mbili. Kwa mujibu wa utawala wa wilaya, taasisi zote za elimu pamoja na ofisi za serikali na binafsi katika miji...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limeanza kukishambulia kisiwa cha Kharg huko Iran

    Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr. Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi, ni kituo muhimu sana cha usafirishaji wa mafuta ya nchi hiyo, kikichakata sehemu...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

    Wanabodi, Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani. Hii ya kumjua rais ajae kabla ya mwaka wa uchaguzi, kuna watu wanaita ni unabii, hivyo sisi jf, tunao...
  6. danielmartinhq

    JamiiForums Tanzania Has YouTube changed the way you learn new skills or follow global news?

    Hi everyone, I’ve been thinking about how much time many of us spend on YouTube these days, not just for entertainment but also for learning and staying updated with what’s happening around the world. Personally, I find myself relying on it more than traditional sources, especially for quick...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Lipumba atimkia CHADEMA

    Habari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL! Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoa ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

    Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu idara ya kudhibiti ugaidi aliyejiuzulu majuzi anachunguzwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri

    25min ago FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info By AP FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
  12. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania News Making Headlines Today

    Take a look at the front page of Kenya’s Newspapers today.
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Moja kwamoja kutoka mtaani kwetu

    Mtoto wakike mrembo wa kidato cha 4 kaingia kwenye nyumba ya mwalimu msela tangu saa 4 asubuhi hadi sasa hajatoka. Ni mtoto wa diwani wa CCM.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  15. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today’s Headlines in Kenya

    These are the stories making headlines today in Kenyan newspapers.
  16. O

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  17. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania CBS NEWS: Illinois Gov. JB Pritzker sends bill for $8.68 billion refund to Trump after Supreme Court tariffs ruling

    Gavana wa Illinois, JB Pritzker, anamtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuirejeshea jimbo la Illinois zaidi ya dola bilioni 8 baada ya Mahakama Kuu ya Marekani kubatilisha Ijumaa ushuru mpana wa kulipizana aliouweka. Mahakama hiyo iliamua kwa kura 6–3 kwamba Sheria ya Mamlaka ya Kiuchumi ya...
  18. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania NBC News: Two ICE agents on leave after appearing to make 'untruthful' statements about shooting

    https://www.nbcnews.com/video/two-ice-agents-on-leave-after-appearing-to-make-untruthful-statements-about-shooting-257682501675 Compare and contrast with Serikali yetu ya majambazi.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

    Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
  20. Collin Butondo

    JamiiForums Tanzania Visa & Immigration 2026

Back
Top Bottom