news

  1. O

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  2. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania CBS NEWS: Illinois Gov. JB Pritzker sends bill for $8.68 billion refund to Trump after Supreme Court tariffs ruling

    Gavana wa Illinois, JB Pritzker, anamtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuirejeshea jimbo la Illinois zaidi ya dola bilioni 8 baada ya Mahakama Kuu ya Marekani kubatilisha Ijumaa ushuru mpana wa kulipizana aliouweka. Mahakama hiyo iliamua kwa kura 6–3 kwamba Sheria ya Mamlaka ya Kiuchumi ya...
  3. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania NBC News: Two ICE agents on leave after appearing to make 'untruthful' statements about shooting

    https://www.nbcnews.com/video/two-ice-agents-on-leave-after-appearing-to-make-untruthful-statements-about-shooting-257682501675 Compare and contrast with Serikali yetu ya majambazi.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

    Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
  5. Collin Butondo

    JamiiForums Tanzania Visa & Immigration 2026

  6. U

    JamiiForums Tanzania Trump amethibitisha kuwa msafara mkubwa wa Meli za Kijeshi za Marekani zinaelekea Iran muda

    Times of Israel:: US President Donald Trump confirms that a “massive fleet” of US military vessels is heading toward Iran, while reiterating his hope they won’t have to use force. Speaking to reporters aboard Air Force One, Trump again claims that Iran scrapped plans to execute 837...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Any News from ICC

    Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... • Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  9. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja...
  11. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

    Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana...
  12. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

    Mpaka sasa, taarifa zisizo na vumbi, mji wa UVIRA, makao makuu ya Kivu kusini, upo mikononi mwa waasi wa serikali ya DRC, ambao ni M23. Ikumbukwe, wapiganaji wote wa upande wa serikali ya DRC, asilimia kubwa wamekimbilia nchini Burundi, huku wengine wakiwa wameelekea Kalemie. Kalemie, ni mji...
  13. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  14. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vatican News: The President of the Tanzanian Bishops’ Conference says Protesters were killed without mercy

    Vatican News Church Tanzanian Bishops’ president: ‘Protesters were killed without mercy’ After weeks of street protests over the recent elections that led to many deaths and injuries, Bishop Wolfgang Pisa, President of the Tanzanian Catholic Bishops’ Conference, expresses grief over the...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

    Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio! Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini! Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU. Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia! Ni kipofu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais wa Uganda Museveni anaitaka Kagera?

    Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe wake wawe uganda Kuingia kwa hili jeshi sioni tena JWTZ wakaweza pambana na kuwatoa maana vifaa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

    BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Yule Jasusi Aliyetoa Breaking News Tarehe 12 March Tukatangaziwa Tarehe 17 March, ametoa Breaking News Kule Jasusi TV

    Wanabodi Zamani JF ndio ilikuwa ya kwanza kwa ma Breaking News, lakini sasa...! Yule member wetu, Jasusi, Aliyetoa Breaking News ile siku ya Tarehe 12 March mwaka ule, Taifa tukatangaziwa Tarehe 17 March, Leo ametoa Breaking News nyingine Kule kwenye youtube channel yake ya Jasusi TV, sijui...
Back
Top Bottom