neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Pata tafasiri halisi na Maana ya Neno "Gwajimanization"

    GT Sukikiza hii hapa mpaka mwisho..Mkuu.wa Nchi awe anachunga sana kauli.zake kwa umakini Mkubwa.
  2. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Elewa neno alilotumia Rais Samia "Kiumbe"

    Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi. Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake. "Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania" Ewe mwanaJF, Mtanzania...
  5. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
  8. black-tz

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    "Solid" ni nini kwa kiingereza?
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Mliokuwa mkitaka kujua Tafsida ya neno Kujamba / kwa Kiswahili Fasaha hili hapa

    Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini neno HAKI limekuwa Gumu kutamkwa Midomoni mwa wana CCM?

    GT Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao. Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Neno lako ni Upanga — Kiwango halisi cha Christo Frequency

    Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa: "In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1) Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu. Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu. Christo...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Neno la Mungu ni nini?

    1. Neno la Mungu ni Upanga wa Roho; Linatumika kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na majeshi yake. (Waefeso 6:17) 2. Neno la Mungu ni Taa ya miguu yetu; Linaongoza njia ya maisha ili tusipotee. (Zaburi 119:105) 3. Neno la Mungu ni Moto wa kiroho; Linachoma kila uchafu, udanganyifu, na...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania HAKI ni neno geni lenye ukakasi, je dhamira yake ni nini?

    Mungu ni mmoja hayupo mfano wake,nguvu yake ni kuu hakuna wa kuisambaratisha na duniani kuna sura mbili unaweza kuchagua mwenge au bichwa je,ni njia gani utaitumia kupata matokeo unayoyataka? Mahubiri ya haki siyo jambo geni katika vichwa vyetu wapo wanazuoni Kama akina aristotle na Plato,Weber...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno "INRI" lililoandikwa juu ya msalaba mda kama huu

    Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi haya yaliandikwa na Pontio Pilato na kuwekwa juu ya Yesu msalabani. Biblia inasema kwamba maandishi...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
Back
Top Bottom