neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Polisi watoa neno

    Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Asili ya neno hela

    Hapo Zamani wakati Wagerumani(German East Africa) Walipokuja TANGANYIKA ambayo sasa ni Nchi ya Tanzania Walifanya Biashara Kutumia Sarafu ya HELLER -1904 Sarafu ya Shaba yaani Bronze Hela 1/2 na Hela 1 ilitengenezwa. -1908 Hela 5 ya Shaba na Hela iliyo na Tundu Katikati ya madini ya...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tunga Sentensi kwa kuanza na neno UNAUHAKIKA

    Nina uhakika mwamba ameshaleft group 😃 😀 😄
  5. okiwira

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KWELI NA HALISI vijana msiangaishwe na neno VIBAMIA

    Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina. Kimapana na kimarefu huwezi. Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha. Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame...
  6. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  7. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  8. kanonb

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo neno la Mungu kwa JamiiForums

    Kumbukumbu la Torati 20:1 [1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri. When thou goest out to battle against thine enemies, and seest horses, and...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mungu ni neno la kiswahili

    Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira Fulani au mtazamo Fulani.... Mtazamo au taswira hii, huundwa kwenye akili...Na Mungu Mmoja yupo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba sana nielemishwe juu ya neno political legitimacy

    Nimekuwa nikisikia neno hili la Political Legitimacy. Naomba nijue maana yake na athari zake kama ipo. Nawasilisha.
  11. PLOII

    JamiiForums Tanzania NENO LA TAREHE 27.08.2025; Ukipata Nafasi ya kuweka Misingi ya Haki Katika Taifa Fanya Hivyo Zama Hazigandi, Pole pole sio kulia Leo wengine somo Hilo

    Habari ya Wednesday Wana Jf, Neno la Leo Kwa ufupi, Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki. Nani asiyejua kuwa Kuna...
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Neno toilet paper ni code ambayo serikali inaweza kukufanya ukazani unawafurahisha ufanikiwe.

    Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo. https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4 Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Neno "Kwa maslahi ya Taifa" ni joka kubwa linaweza kummeza hata anayelifuga

    Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba. Walinda katiba ni kama...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Weka neno ambalo unalichukia kulisikia hupendi kulisikia kabisa ila ndo linaongelewa sana

    Mimi hili neno linaongelewa sana kwa sasa sipendi kulisikia ni hili hapa, 'KULINDA AMANI' 'MAHAKAMA' 'CCM'.
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ipe neno hii picha 😂😂😂😂

    Ipe neno hii picha 😂😂😂😂
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wiki hii ndio nimejua maana halisi ya neno "WAHUNI"

    Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

    ]
  20. R

    JamiiForums Tanzania Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
Back
Top Bottom