Hili neno freemanbase lina siri gani ndani yake

Joined
Mar 26, 2025
Posts
13
Reaction score
7
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šŸ‘ˆKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.

Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,

Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?
 
Kuna m2 anakula za uso muda sio mrefu kwa kutamani utajili ambao hata mtoaji huo utajili anautafuta kupitia mtamani utajili.
Atakayehitaji kujiunga ndiye atajua mwenyewe lakini, binafsi nipo katika kutaka kuelewa mambo zaidi kuhusu jamii hizi
 
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šŸ‘ˆKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.

Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,

Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?
Aisee, hii mada inavutia sana! šŸ¤” Freemanbase inavyosikika ni kama jina jipya kwenye hizi jamii za siri, lakini bado kuna ukungu mwingi kuhusu wao. Kama wanatumia alama na mbinu kama Freemason na Illuminati, basi kuna mengi ya kuchimba hapa! Unasema wamejipromote sana, kuna ushahidi gani wa wazi juu ya shughuli zao hapa Tanzania? Maana mambo mengine yanakuwa urban legend tu! šŸ˜‚ Lakini kama kuna mtu mwenye details zaidi, aje hapa atumwagie data!
 
Baada ya kuona jambo hilo nilijaribu kusearch google wanaonekana sana kupitia hilo jina kwahivyo nikaona kama vile ni watu Ambao si bure kuna namna wanajipromo sana na wanatumia sana mtanado kujitambulisha. Ndiyo maana nahitaji mtu mwenye details zaidi nje na mtandao anieleweshe,

Kama kuna mtu mwenye details zaidi nadhani anaweza kutufumbua
 
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šŸ‘ˆKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.

Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,

Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?
Ni watu tuu kama wewe wanafanya kazi majini yenye nguvu
Mi kuna mzee mmona namfaham anafanya kazi ofisi zoani mpole hana stori hata na mtu jimemjua kwa kytumia mtu ambae huto mzee alimshawishi akakubali kapelekwa kuke post mpya kwenye ofisi zao anadai aliingizwa kinyume nyume akaambiwa ukiambiwa geuka utakachoona toboa kwa kifole basi yule mzee anadai alisikia sauti hajui imetoa wapi wala haoni mtu ile sauti ikamwambia "geuka toboa" ile anageuka akakutana uso uso na mwanao wa kike anaempenda (simtaji jina ) ambae anaishi arusha huko ile kumwona hakutoboa akabaki anamwita jina (, ,,,,,,, ) yule mzee anadai alijikuta anatoka nje mbio katembea kwa miguu posta hadimanzese akili kama sio yake.
 
Mmmh,chai hii
 
Aisee😃😃
 
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šŸ‘ˆKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.

Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,

Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?
Kwanini unatamani mambo ya giza? Bora ufuatilie habari za Yesu Kristo ambaye ni nuru.
 
Kufuatilia sio kuamini bali ni kujifunza, Imani yangu juu ya kile ninachokiamini inabaki pale pale na kujifunza kunasaidia kuendelea kujijenga kiimani na kuwa mtu nisiyefuta mkumbo bali kutambua ninachokiamini.
 
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šŸ‘ˆKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.

Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,

Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?
Is a scam
 
Back
Top Bottom