neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA Kuna shida gani Kutumia neno NIDA,Sms ukiituma ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa,tatizo ni nini!?

    Wasalaamu Wapendwa. Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb). Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
  2. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya neno 'niko' na 'nipo' katika Kiswahili

    Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea. Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu. Nipo Inaonesha hali ya kuwepo (kuwepo kwa kitu au mtu sehemu fulani) kwa mfano, Mwalimu: Mbooyapunda...
  3. Ambitious Joh

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  4. Dr John Karithi

    JamiiForums Tanzania Waswahili na Kiswahili

    KAULI YA LEO Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na 'watu' wanaoishi 'kando kando ya bahari' au 'Pwani'. 'Wamijikenda' na 'wandigo' waliwaita 'Wajomba'...
  5. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Neno tamu,ahadi tamu, lakini umpate mwenye viuongo vinavyofanana na ukweli

    Shikamooni wakubwa wote humu ndani. Maisha ni fumbo, Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth . Basi Mimi nilinunua za gharama zaidi kuliko wenzangu,lakini cha ajabu mpaka Jana jioni zilikuwa haziimbi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Shujaa Mtanganyika Tundu Antipas Lissu

    Shujaa wa Tanganyika 👇
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Toa neno kuhusu hizi chipsi

    😁😁😃
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  11. FYATU

    JamiiForums Tanzania Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ijue maana halisi ya neno "Kanisa"

    Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno “Kanisa” kama ilivyokusudiwa katika Biblia? Je, Kanisa ni jengo au taasisi? Ili kuujua ukweli, ni...
  13. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wassira sema neno Sakata ya Gwajimanization!

    Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana ya neno Ponjoro

    Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni. Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe. Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Pata tafasiri halisi na Maana ya Neno "Gwajimanization"

    GT Sukikiza hii hapa mpaka mwisho..Mkuu.wa Nchi awe anachunga sana kauli.zake kwa umakini Mkubwa.
  16. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Elewa neno alilotumia Rais Samia "Kiumbe"

    Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi. Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake. "Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania" Ewe mwanaJF, Mtanzania...
  19. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
Back
Top Bottom