neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini neno HAKI limekuwa Gumu kutamkwa Midomoni mwa wana CCM?

    GT Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao. Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
  2. Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  3. B

    Neno lako ni Upanga — Kiwango halisi cha Christo Frequency

    Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa: "In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1) Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu. Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu. Christo...
  4. Neno la Mungu ni nini?

    1. Neno la Mungu ni Upanga wa Roho; Linatumika kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na majeshi yake. (Waefeso 6:17) 2. Neno la Mungu ni Taa ya miguu yetu; Linaongoza njia ya maisha ili tusipotee. (Zaburi 119:105) 3. Neno la Mungu ni Moto wa kiroho; Linachoma kila uchafu, udanganyifu, na...
  5. HAKI ni neno geni lenye ukakasi, je dhamira yake ni nini?

    Mungu ni mmoja hayupo mfano wake,nguvu yake ni kuu hakuna wa kuisambaratisha na duniani kuna sura mbili unaweza kuchagua mwenge au bichwa je,ni njia gani utaitumia kupata matokeo unayoyataka? Mahubiri ya haki siyo jambo geni katika vichwa vyetu wapo wanazuoni Kama akina aristotle na Plato,Weber...
  6. C

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
  7. Maana ya neno "INRI" lililoandikwa juu ya msalaba mda kama huu

    Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi haya yaliandikwa na Pontio Pilato na kuwekwa juu ya Yesu msalabani. Biblia inasema kwamba maandishi...
  8. Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
  9. Kukataa neno "Awamu ya Sita" kwa kukosa ilani ya chama na Kukubali "Awamu ya Tano" iliyokuwa na Ilana ya chama

    Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
  10. Nyumba inauzwa banana mil 20 elewa neno banana yaani mwendokasi inajengwa

    Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning Choo cha wagen Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
  11. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa...
  12. M

    Hili neno freemanbase lina siri gani ndani yake

    Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa...
  13. Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
  14. Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  15. Ukisikia neno Fratenity ni kwenye Ushabiki wa Simba na Yanga

    hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba...
  16. B

    Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  17. U

    Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  18. Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

    Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm. Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo. Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
  19. Waziri WA MICHEZO anatakiwa awe amejiuuxulu kwa VITUKO vinavyoendelea pale tff..Mama Samia sema neno Moja tu roho yetu ipone

    Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
  20. TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…