Wafanyabiashara tusaidie hapa

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Wasalam

Nimekua nakumbana na neno hili kwenye manunuzi yangu huko kwenye nchi za Wenzetu (FOB) freight on board or free on board.

Please nimejaribu ku Google Sijapata uelewa mzuri naomba mwenye kujua anisaidie kwa utuo.

Asanteni

Cc CONTROLA
 
Hiyo ni moja ya makubaliano ya majukumu ya kibiashara...hasa gharama....kati ya muuzaji na mnunuaji....mfano hiyo FOB....maana yake ni Free on board...yaani ukinunua mzigo kwa makubaliano ya FOB....gharama zote za kukusafirishia mzigo toka eneo la mauziano....mpaka eneo la kusafirishia mzigo....atalipa muuzaji....

Gharama zote zinazofata mpaka mzigo unafika kwa mnunuzi....ni jukumu la mnunuzi....ziko nyingi tu....kulingana na makubaliano....mojawapo ni Exw....ex factory works.....hii gharama zote toka eneo la mauziano mpaka mzigo unafika....ni za mnunuaji.
 
Hiyo ni moja ya makubaliano ya majukumu ya kibiashara...hasa gharama....kati ya muuzaji na mnunuaji....mfano hiyo FOB....maana yake ni Free on board...yaani ukinunua mzigo kwa makubaliano ya FOB....gharama zote za kukusafirishia mzigo toka eneo la mauziano....mpaka eneo la kusafirishia mzigo....atalipa muuzaji....gharama zote zinazofata mpaka mzigo unafika kwa mnunuzi....ni jukumu la mnunuzi....ziko nyingi tu....kulingana na makubaliano....mojawapo ni Exw....ex factory works.....hii gharama zote toka eneo la mauziano mpaka mzigo unafika....ni za mnunuaji.
Case closed
 
Kwa sisi watu wa shipping kuna kitu kinaitwa ecoterms issued by the international chamber of commerce yaani ni makubaliona katika delivery ya mzigo zipo nyingi kama ex work ,insurance paid to (Ipt),

So katika free on board ni kwamba muuzaji hata hakikisha mzigo mpaka umepakizwa na liability ya mzigo itakuwa kwake atahusika mpaka unakuja pokea ila yeye ghrama ya bidhaa itaingezeka maana atajumlisha na cost of usafirshaji means atauza mzigo katika rate ya freight ninposema freight namaanisha bidhaa iliyosafilishwa kwa njia yeyote pale hatuiti cargo wala goods tena atakuchaji freight rate

Zipo term nyingi kuna mpaka delivery at termnal( anakufikishia mpaka kweny terminal, kuna delivery at place(DAT) anakufikishia mpaka eneo husika door to door.
 
Duh kweli elimu haina mwisho
 
Back
Top Bottom