Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,580
- 20,467
Habari wakuu. Kila neno kwenye lugha huwa lina athiri yake. Mfano ukichunguza utaona kuwa God aliabudiwa na jamii nyingi za Ulaya kabla hata ya ukristo. Allah aliabudiwa na waarabu kabla hata ya uislamu. Yahweh/Yehova aliabudiwa na wana wa Isaraeli. Kuna makabila yetu ambayo yana majina yao ya walichoabudu. Wengine waliwaita Kyala, wengine Ruwa, Nguluvi nk nk.
Zilivyodominate dini hizi mbili za mashariki ya kati, watu wakabadili majina ya wanavyoviabudu kumaanisha Allah na Yehova. Sasa inaonekana hata hili neno Mungu lilikuwa kama Nguluvi, Kyala, au Ruwa. Pengine ni kitu waliabudu waswahili.
Wachaga walikuwa wanamuabudu Ruwa. Wanyakyusa walikuwa wanamuabudu Kyala. wazungu walikuwa wanamuabudu God. Ni nnani waliokuwa wanamuabudu Mungu? Neno Mungu lilitoka wapi?