necta

  1. Shark

    NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha 6 - 2021. Ufaulu waongezeka kwa 0.19%

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021. Ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 0.11 ikilinganishwa na mwaka 2020. Dkt Msonde amesema hayo leo visiwani Zanzibar na...
  2. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  3. Samedi Amba

    App/Software ya kuonyesha matokeo Bongo (NECTA)

    Habari wanajamvi, Natumaini tunaendelea vizuri. Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika. Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
  4. Superbug

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), naomba majibu ya maswali haya...

    1. Jamii ya watanzania haipendi kujisomea. 2. Wanafunzi wa Tanzania hasa O level hawawezi kujisomea bila usimamizi wa mwalimu. 3. Familia nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuwanunulia watoto vitabu ili wajisomee nyumbani. 4. Shule pia hazina vitabu kabisa vya kutosha. 5. Shule zilifungwa muda...
  5. Mlenge

    Nashauri kuwe na Watahiniwa wa kujitegemea kwa shule za msingi (Private Candidate Primary School Tanzania)

    EDIT: THE ORIGINAL TITLE WAS, Private Candidate Primary School Tanzania. The thread title was stealthily edited. Shame on the mod who cannot formulate his/her own ideas and stand by them. If you edit, show that this article was edited, by who. Putting your own words under somebody's else name is...
  6. Z

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    HAYA NI MAONI YANGU MIAKA MIWILI ILIYOPITA, LEO 29 JANUARI 2023 NDO YAMETEKELEZWA NA NECTA. NAOMBA LIKES ZENU KWA WALE AMBAO MULIONA VINGINE. _____________________________________________________ Nimeangalia matokeo ya kidato cha 4. Kwa ujumla wake wanafunzi wameshindwa hesabu. Je, Baarza...
  7. Tomaa Mireni

    Nyie madogo mnaofaulu mitihani acheni kuwadanganya wenzenu kuwa mnamtegemea Mungu

    Ukisikiliza vijana wengi waliofanya vizuri kwenye mitihani yao wanadai ni Mungu tu. Maswali ya kujiuliza 1. Swali linakuja je waliofeli wao hawakumtegemea? 2. Hawakusoma ila Mungu ndio aliwapa majibu au? 3. Kuna wasioamini Mungu lakini wanafanya makubwa,wao wanamtegea nani? Ushauri wangu kwao...
  8. Evans Richard Arsenal

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii. All the best Comrades, see you at the top. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form...
  9. Mlalamikaji daily

    Hongera NECTA kwa kusambaratisha wizi wa mitihani Wilaya ya Kilindi

    Hakuna jambo baya kama wizi wa mitihani kwani hupelekea kupata mabosi Vilaza na kutuletea tabu kwenye taifa. Wilaya ya Kilindi ilikua ni mojawapo ya Ngome za uvujaji wa mitihani , ilifikia hatua mpaka mitihani ya MOCK ilisoviwa, wadau mbali mbali walipigia kelele suala hili Mimi binafsi...
  10. PAZIA 3

    NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo Shule 38 za Msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa Mitihani hiyo ya Taifa Shule hizo...
  11. R

    Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako, tunaomba NACTE watoe matokeo ya Wanafunzi kwa mtindo wa NECTA. Vyuo vimegoma kutoa matokeo ya muhula 2/2020

    Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc. Maadam chuo ndicho kinamwonesha mwanafunzi matokeo, chochote...
  12. R

    NACTE: Toeni matokeo ya mitihani kwa kufuata mfumo wa NECTA

    Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine...
  13. Supu ya kokoto

    NECTA Kuweni makini na usimamizi wa mitihani wilayani Tarime

    Baraza la mitihani NECTA ongezeni macho katika usimamizi wa mitihani ya darasa la Saba wilayani TARIME. Kuna mbinu chafu zimebainika zitatumiwa na baadhi ya wamiliki wa shule za binafsi ili kufaulisha kwa kiwango kisicho Cha kawaida ili mwakani wapate wanafunzi wengi. Baadhi ya shule hizo ziko...
  14. Civilian Coin

    Waraka maalum kwa NECTA, NACTE na TCU

    Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI. TULIPOTOKA Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni...
  15. Ngengemkenilomolomo

    Msaada kuhusu NECTA

    Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu? Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit moja na D moja na mwaka jana ikabid arudie yale masomo alopata F kwa bahat nzur kapata credit...
  16. Analogia Malenga

    NECTA yatangaza kuahirisha mitihani ya Kidato cha Sita

    Baraza la Mitihani nchini limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyikwe Mei 4, 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya. Tangazo hili limekuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutangaza shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 kufungwa kwa siku 30...
  17. C

    Naombeni NECTA Form 4 past papers 2019

    Chiefs! Msaada please! Maktaba ya TETEA hawajaweka bado!
  18. matokeotz

    Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form Four ya 2019

    We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St...
  19. P

    NECTA huwa wanasahihishaje mitihani yao? Nimepata mashaka ya alama za ufaulu wa wadogo zangu

    Nina wadogo na ndugu zangu watano waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana ambao matokeo yao yametoka mapema mwaka huu. Kati ya wadogo zangu watano watatu wamepata daraja la kwanza na mmoja wao amepata daraja la kwanza la alama 10 kati ya masomo kumi aliyofanya amepata A's 4 za masomo ya...
  20. Analogia Malenga

    Darasa la saba Dar kufanya mitihani 16 Jan 2020, Necta watoa ufafanuzi

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu mitihani itakayofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2020 jijini Dar es Salaam kwa wanafunzi wa darasa la saba. Mtihani huo utahusisha shule zote za umma na binafsi na utafanyika kwa siku moja ya kesho. Limesema mitihani...
Back
Top Bottom