necta

  1. chaliko

    Baraza la mtihani Tanzania (NECTA) hapa mmenichanganya

    Habari ndugu zangu wa Jf, Leo katika kuperuzi kwangu mitandaoni nikaona ngoja nipitie na Website ya NECTA ili na mimi niwe na taarifa za motomoto kutoka huko. Nilifanikiwa kuperuzi hapa na pale na pia kupata maarifa kidogo. Pia nikaona ngoja nisome kwa mara nyingine VISION na MISSION ya BARAZA...
  2. 666 chata

    Jinsi Baraza la Mitihani la Taifa 'NECTA' linavyotudhalilisha na kutuacha uchi Watanzania

    Wadau kikawaida kila mtu ana haki ya usiri wa taarifa zake na mambo yake, hakuna mtu au taasisi yoyote inayoruhusiwa kuingilia haki hio na kuivunja haki hio. Hii imekuwa tofauti kwa baraza la mitihani ya taifa NECTA, ambalo kwa makusudi kabisa na kwa kujua kuwa haki ya faraja ya wasomi...
  3. Bampalo

    Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019 Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
  4. Roving Journalist

    Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kesho Alhamisi Januari 24, 2019 litatangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018. UPDATE: Shule ya St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa >>> Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya...
  5. Mayova

    Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili 2018(ftna 2018 results ) haya hapa

    Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea...
  6. Hivi punde

    Maajabu matokeo ya kidato cha sita 2018

    Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho. Jingine katika matokeo hayo ni Shule ya Sekondari Kibaha kupanda...
  7. majiko8

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) na maarifa (QT) 2O17 Yametangazwa na Baraza la Mtihani la Taifa NECTA. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza! KUONA MATOKEO LINK 1: BOFYA HAPA LINK 2: BOFYA HAPA...
  8. Chachu Ombara

    NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta...
  9. bonny deus

    Matokeo ya kidato cha sita 2017/2018

    Link hi hapa http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016 Matokeo Kidato cha Sita 2009
  10. chakii

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    MATOKEO KIDATO CHA 4 Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%. - Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia. Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016...
  11. SniperBoi

    Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI, Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na...
  12. JamiiForums

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015. Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo Kidato cha Nne 2014...
  13. texaz mc

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa...
  14. RUCCI

    NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2015, wamefaulu mtihani huo. Ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia...
  15. Petro E. Mselewa

    Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014 Matokeo...
  16. MashaJF

    Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Kupata Matokeo Haya, Bofya hapa Jiridhishe kwa kutembelea NECTA Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa kwenye jedwali, Distinction ndio kama Division I ukipenda. http://www.necta.go.tz/files/utaratibu_wa_kutunuku.pdf Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008...
  17. Chakupewas

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National form II Results 2009 aibu
  18. FikraPevu

    Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita yaliyofanyika Mei, 2014 mwaka huu, ambapo limesema ufaulu umeongezeka kwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 ambao wamefaulu katika madaraja ya I- III. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano Julai...
  19. Kimboka

    Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013. Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili...
  20. TIQO

    NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

    Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa. Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu. Shule zilizoongoza ni 1. Marian Girls 2. Mzumbe Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka Matokeo Kidato cha Sita 2009 ========================= Updates...
Back
Top Bottom