Waraka maalum kwa NECTA, NACTE na TCU

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,433
2,000
Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI.

TULIPOTOKA

Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni copy and paste.

TULIPO SASA

Hakuna MABADILIKO ya msingi yaliyofanyika mpaka Sasa zaidi ni maboresho ya kawaida yasiyo kuwa na tija kwa Taifa.

TUNAKOTAKA KWENDA SASA
Mfumo lazima ubadilike ili uendane na mazingira ya utandawazi. Leo Sheria na falsafa imezoeleka midomoni mwa wa TANZANIA na walio wengi Sasa wameelimika na kujitambua.

Kinachotakiwa kufanya Sasa MTU anapo badili jina au Majina kwa kufuata taratibu za kisheria itabidi atengenezewe vyeti vipya kabisa kuendana na Majina mapya. Mfano MTU alisoma kwa Majina ya DEOGRATIUS KISANDU lakini leo kala Kiapo kwa Wakili au mahakamani na kuwa DON NALIMISON Basi NECTA, NACTE NA TCU itawabidi kumtengenezea vyeti vipya kulingana na viapo vya kisheria. Na hii inafanyika Duniani kote kasoro Tanzania tu. heria lazima ifuatwe na kuzingatiwa.

Mtazamo huu ni wa kiufundi zaidi na wa kifalsafa unaoendana na mahitaji ya muda na wakati. Huu ni Ushauri tu.

Leo naishia hapa.

DON NALIMISON
DON NALIMISON ADVISORY BOARD
+255 682 94 29 01.
26 SEPTEMBER 2020.
IMG_20200926_132006_957.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom